euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,811
- 4,178
Kiongozi unatumia simu gani?Kwenye Account ni shortlisted. Halafu kwa chini yake kuna view timetable, of which haifunguki kwa simu.Nataka enda Internet cafe kuangalia ratiba maana kwa simu haifunguki.Maana sijui ni room ipi natakiwa ingia ni jina la herufi P huko ambao hawapo ktk serials kwenye pdf