Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na usaili nenda kachukue mpunga wako mkuuWadau nipeni ushauri kidogo nimeitwa kwenye mkando tarehe 28 nafasi ya AFISA MIKOPO DARAJA LA PILI taasisi board ya mkopo, lakini tarehe 27, 28 , 29 na 30 kunadili nimepata ya kufanya kazi siku hizo ikiwemo hiyo siku ya mkando tarehe 28. Dili lenyewe kwa siku ni laki mbili hivyo siku 4 naingiza laki 8. Je niende wapi kwenye mkando au kwenye dili la pesa. Kote muhimu ndio maana niponjia panda
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mkuu nenda kapige hela..Wadau nipeni ushauri kidogo nimeitwa kwenye mkando tarehe 28 nafasi ya AFISA MIKOPO DARAJA LA PILI taasisi board ya mkopo, lakini tarehe 27, 28 , 29 na 30 kunadili nimepata ya kufanya kazi siku hizo ikiwemo hiyo siku ya mkando tarehe 28. Dili lenyewe kwa siku ni laki mbili hivyo siku 4 naingiza laki 8. Je niende wapi kwenye mkando au kwenye dili la pesa. Kote muhimu ndio maana niponjia panda
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nenda kachukue hiyo laki 8 kijana itakusaidia kwenye safari za mikando ya hapa na pale,kuacha laki 8 kwenda usaili ambako kuna nyomi ya watu ni kubeti mkuuNa received mbili 1.OPEN UNIVERSITY nafasi ya ADMISSION OFFICER II na ya pili ni CHUO CHA USHIRIKA MOSHI (MOCU) pale pia ni ADMISSION OFFICER II. Pia nasubiria placements chuo cha ADEM.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kapige hela mzee kwasababu unasubiri placement ya ADEM Kwahiyo kapige hela mkuuNa received mbili 1.OPEN UNIVERSITY nafasi ya ADMISSION OFFICER II na ya pili ni CHUO CHA USHIRIKA MOSHI (MOCU) pale pia ni ADMISSION OFFICER II. Pia nasubiria placements chuo cha ADEM.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sawa kiongoziMkuu nenda kapige hela..
Maana probability ya kupata kazi sio kubwa sana kiivo kutokana na ushindani uliopo.
Majuto yatakua makubwa sana pale ambapo utakosa yote..
Enewei kila la kheri mpambanaji.
Ila tuombeane tu ndugu zangu wale watakao enda kushiriki usaili huu wa NAOT na HESLB basi members tuliopo kwenye uzi huu wakachukuliwe wengi
Hvi placement za Adem ni lini wazee,maana dah!Kapige hela mzee kwasababu unasubiri placement ya ADEM Kwahiyo kapige hela mkuu
Miss pia nakushauri kapige helaKapige hela mzee kwasababu unasubiri placement ya ADEM Kwahiyo kapige hela mkuu
Ahahaha alaf muda huo hyo taarifa inatolewa wew unasubr matokeo ya mtihan wa mchujo
We acha tu mdugu yangu , kichwa kinawaka moto. Maana hela naitaka , lakini pia kazi nataka, na nikifanikiwa kupata kazi hiyo hela nitaipata fasta lakini nikienda Dom nikikandwa nitajutia kwa kupoteza fursa ya hela. Maana nikikandwa + baridi la CIVE-UDOM pale + Nauli na kuacha dili la hela lazima nitaumwa [emoji23][emoji23][emoji23] ila nikiwakanda fresh. Lakin idadi ya watu nayo ndio inaninyongonyesha zaidi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
ADEM chuo wanafungua tarehe 24 juma tatu ijayo hivyo nadhan pdf ya ADEM itatoka kabla ya juma 3Hvi placement za Adem ni lini wazee,maana dah!
Ulipiga oral ya Adem Genuine raf ?Hvi placement za Adem ni lini wazee,maana dah!
Dah Mungu asaidie tukaonekane hukoADEM chuo wanafungua tarehe 24 juma tatu ijayo hivyo nadhan pdf ya ADEM itatoka kabla ya juma 3
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nilipiga bro
Uliomba nafasi gani ambazo unahisi "zimesahaulika" ?Wadau naona kama utumishi Kuna kada/taasisi wamezisahau.. me Kuna mkeka niliomba Toka mwezi July Ila mpaka Leo hakuna Cha maana..
Hii MIKEKA ya NAOT na Heslb zilitangazwa mwezi upi..?
Kakusanye hii rasilimali fedha ikufae kwenye masuala muhimu maishani ikiwamo saili zijazoWadau nipeni ushauri kidogo nimeitwa kwenye mkando tarehe 28 nafasi ya AFISA MIKOPO DARAJA LA PILI taasisi board ya mkopo, lakini tarehe 27, 28 , 29 na 30 kunadili nimepata ya kufanya kazi siku hizo ikiwemo hiyo siku ya mkando tarehe 28. Dili lenyewe kwa siku ni laki mbili hivyo siku 4 naingiza laki 8. Je niende wapi kwenye mkando au kwenye dili la pesa. Kote muhimu ndio maana niponjia panda
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Dili ni la muda mfupi.Wadau nipeni ushauri kidogo nimeitwa kwenye mkando tarehe 28 nafasi ya AFISA MIKOPO DARAJA LA PILI taasisi board ya mkopo, lakini tarehe 27, 28 , 29 na 30 kunadili nimepata ya kufanya kazi siku hizo ikiwemo hiyo siku ya mkando tarehe 28. Dili lenyewe kwa siku ni laki mbili hivyo siku 4 naingiza laki 8. Je niende wapi kwenye mkando au kwenye dili la pesa. Kote muhimu ndio maana niponjia panda
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
NAOT nafasi zilitangazwa mwezi wa 5Wadau naona kama utumishi Kuna kada/taasisi wamezisahau.. me Kuna mkeka niliomba Toka mwezi July Ila mpaka Leo hakuna Cha maana..
Hii MIKEKA ya NAOT na Heslb zilitangazwa mwezi upi..?
Ulipata self?? Project walikuwa nayo inaitwa kopa ada