Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wadau naona kama utumishi Kuna kada/taasisi wamezisahau.. me Kuna mkeka niliomba Toka mwezi July Ila mpaka Leo hakuna Cha maana..
Hii MIKEKA ya NAOT na Heslb zilitangazwa mwezi upi..?
 
Wadau nipeni ushauri kidogo nimeitwa kwenye mkando tarehe 28 nafasi ya AFISA MIKOPO DARAJA LA PILI taasisi board ya mkopo, lakini tarehe 27, 28 , 29 na 30 kunadili nimepata ya kufanya kazi siku hizo ikiwemo hiyo siku ya mkando tarehe 28. Dili lenyewe kwa siku ni laki mbili hivyo siku 4 naingiza laki 8. Je niende wapi kwenye mkando au kwenye dili la pesa. Kote muhimu ndio maana niponjia panda

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Achana na usaili nenda kachukue mpunga wako mkuu
 
Wadau nipeni ushauri kidogo nimeitwa kwenye mkando tarehe 28 nafasi ya AFISA MIKOPO DARAJA LA PILI taasisi board ya mkopo, lakini tarehe 27, 28 , 29 na 30 kunadili nimepata ya kufanya kazi siku hizo ikiwemo hiyo siku ya mkando tarehe 28. Dili lenyewe kwa siku ni laki mbili hivyo siku 4 naingiza laki 8. Je niende wapi kwenye mkando au kwenye dili la pesa. Kote muhimu ndio maana niponjia panda

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mkuu nenda kapige hela..

Maana probability ya kupata kazi sio kubwa sana kiivo kutokana na ushindani uliopo.

Majuto yatakua makubwa sana pale ambapo utakosa yote..

Enewei kila la kheri mpambanaji.
 
Na received mbili 1.OPEN UNIVERSITY nafasi ya ADMISSION OFFICER II na ya pili ni CHUO CHA USHIRIKA MOSHI (MOCU) pale pia ni ADMISSION OFFICER II. Pia nasubiria placements chuo cha ADEM.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nenda kachukue hiyo laki 8 kijana itakusaidia kwenye safari za mikando ya hapa na pale,kuacha laki 8 kwenda usaili ambako kuna nyomi ya watu ni kubeti mkuu
 
We acha tu mdugu yangu , kichwa kinawaka moto. Maana hela naitaka , lakini pia kazi nataka, na nikifanikiwa kupata kazi hiyo hela nitaipata fasta lakini nikienda Dom nikikandwa nitajutia kwa kupoteza fursa ya hela. Maana nikikandwa + baridi la CIVE-UDOM pale + Nauli na kuacha dili la hela lazima nitaumwa [emoji23][emoji23][emoji23] ila nikiwakanda fresh. Lakin idadi ya watu nayo ndio inaninyongonyesha zaidi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Nashauri ufanye kila linalowezekana kuhakikisha hilo dili linaweza kusogea mbele kidogo angalau ukafanye usaili.

Ikishindikana kabisa na ukaona pesa ni ya uhakika na sio mambo ya ahadi, nenda kwenye pesa.
 
Wadau naona kama utumishi Kuna kada/taasisi wamezisahau.. me Kuna mkeka niliomba Toka mwezi July Ila mpaka Leo hakuna Cha maana..
Hii MIKEKA ya NAOT na Heslb zilitangazwa mwezi upi..?
Uliomba nafasi gani ambazo unahisi "zimesahaulika" ?

NAOT tangazo lilitoka 27/05/2022
HESLB tangazo lilitoka 05/06/2022
 
Wadau nipeni ushauri kidogo nimeitwa kwenye mkando tarehe 28 nafasi ya AFISA MIKOPO DARAJA LA PILI taasisi board ya mkopo, lakini tarehe 27, 28 , 29 na 30 kunadili nimepata ya kufanya kazi siku hizo ikiwemo hiyo siku ya mkando tarehe 28. Dili lenyewe kwa siku ni laki mbili hivyo siku 4 naingiza laki 8. Je niende wapi kwenye mkando au kwenye dili la pesa. Kote muhimu ndio maana niponjia panda

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kakusanye hii rasilimali fedha ikufae kwenye masuala muhimu maishani ikiwamo saili zijazo
 
Wadau nipeni ushauri kidogo nimeitwa kwenye mkando tarehe 28 nafasi ya AFISA MIKOPO DARAJA LA PILI taasisi board ya mkopo, lakini tarehe 27, 28 , 29 na 30 kunadili nimepata ya kufanya kazi siku hizo ikiwemo hiyo siku ya mkando tarehe 28. Dili lenyewe kwa siku ni laki mbili hivyo siku 4 naingiza laki 8. Je niende wapi kwenye mkando au kwenye dili la pesa. Kote muhimu ndio maana niponjia panda

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Dili ni la muda mfupi.

Dili la mkando ni la muda mrefu endapo ukiwakanda(laki 8 ya dili la muda mfupi huenda utakuwa unaipata kila mwezi).

Angalia mizani inapoegemea uhitimishe
 
Wadau naona kama utumishi Kuna kada/taasisi wamezisahau.. me Kuna mkeka niliomba Toka mwezi July Ila mpaka Leo hakuna Cha maana..
Hii MIKEKA ya NAOT na Heslb zilitangazwa mwezi upi..?
NAOT nafasi zilitangazwa mwezi wa 5
 
Back
Top Bottom