Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wazee japo matokeo hayajatoka ila nimekutana na multiple choice iloyoenda shule asee.

Hii ndo interview yangu ya kwanza utumishi ila kiukweli mambo magumu.

Zamani nilikuaga nawaza mnaokandwa written ni vilaza kumbe sio asee duh .

Utumishi utumishi
Pole sana mzee bs huo ndo mkando wa utumishi kaza buti usikate temaa
 
Wazee japo matokeo hayajatoka ila nimekutana na multiple choice iloyoenda shule asee.

Hii ndo interview yangu ya kwanza utumishi ila kiukweli mambo magumu.

Zamani nilikuaga nawaza mnaokandwa written ni vilaza kumbe sio asee duh .

Utumishi utumishi
Hahahahaaa, pole sana mkuu.

Huo ndio mkando sasa
 
Wazee japo matokeo hayajatoka ila nimekutana na multiple choice iloyoenda shule asee.

Hii ndo interview yangu ya kwanza utumishi ila kiukweli mambo magumu.

Zamani nilikuaga nawaza mnaokandwa written ni vilaza kumbe sio asee duh .

Utumishi utumishi
Hahahahaha
 
Wale jamaa. Ni noma kwa maswali unaweza kandwa mpka ukasahau kurudi gesti na ukajikuta upo terminal unasubiri Yutong ya kwenu
 
Naona PSRS wakienda kumaliza saili zote mwezi November.
Mwezi huu mwshoni taasisi zote zilizobaki zitaita watu Usaili Dom.. bila kusahau wale wa TRA.. jiandaeni na interview November
 
Majina ya nyongeza nasikia yatatoka wiki hii mwishoni au wiki ijayo mwanzoni. Pia kama NOAT au HESLB uliomba na sifa unazo ila ukaandikiwa vyeti havijakuwa certified, usipige simu nenda ofisi kwao ili mwisho wa wiki hii au ijayo wakuweke kwenye pdf ya majina ya nyongeza, kuna sister angu kaenda leo pale ofisi za Dar kasaidiwa , awali aliwapigia simu ila hawakupokea hivyo akaamua kupanda gari kwenda ofisi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yaani wamekubali kuweka majina ya nyongezo kisa uja certified vyeti mbna Kuna wakt ss tulikoza kbsa kbsa
 
Wakuu mlioitwa kwenye saili zinazoanza tar 28.. someni kabisa vijana, PSRS sio wajinga kutoa majina mapema, lengo kuu ni kuwapa vijana mda wa kujiandaa kiakili na kipesa..
Sasa we Endelea kujiandaa kipesa ukifurahi kuwa umeitwa Usaili na kufikiri kama umepata kazi mazima...!!! Hv Ile nyomi hamuioni..? Someni vijana msije kusema sikuwaambia pindi mtakapokandwa Hadi nywele za kisogoni[emoji23][emoji23]

Hii quote inawahusu hizi familiar HESLB & NAOT..
Kwa upande wa UDSM watu washakandwa kitambo na washarudi makwao,, Leo wengine wameanza kukandwa kwenye Oral..

But nawatakia Kila la kheri wakuu, siku nitafurahi kuona members Wote tunaojuana humu JF tumepata kazi ndani ya Utumishi wa Umma.
Wape vijana area of concentration
 
Wazee japo matokeo hayajatoka ila nimekutana na multiple choice iloyoenda shule asee.

Hii ndo interview yangu ya kwanza utumishi ila kiukweli mambo magumu.

Zamani nilikuaga nawaza mnaokandwa written ni vilaza kumbe sio asee duh .

Utumishi utumishi
Multiple choice post gani mkuu?
 
Back
Top Bottom