Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wadau nipeni ushauri kidogo nimeitwa kwenye mkando tarehe 28 nafasi ya AFISA MIKOPO DARAJA LA PILI taasisi board ya mkopo, lakini tarehe 27, 28 , 29 na 30 kunadili nimepata ya kufanya kazi siku hizo ikiwemo hiyo siku ya mkando tarehe 28. Dili lenyewe kwa siku ni laki mbili hivyo siku 4 naingiza laki 8. Je niende wapi kwenye mkando au kwenye dili la pesa. Kote muhimu ndio maana niponjia panda

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Habari mtafutaji mwenzangu,
Kwanza nikupongeze kwa kupata deal lenye malipo mazuri per diem.

Ushauri wangu ni kwamba kama umejiandaa vizuri kwa usaili, na maanisha maandalizi kweli kweli sio tiamaji tiamaji. Basi nenda Dodoma, kwa sababu hizi nafasi ni nadra sana kutokea na pengine ndio nafasi yako ya kutoka mazima.
Ila, kama hujajiandaa vizuri, nenda kapige hilo deal mkuu. Unajua nimejifunza jambo kuhusu sahili za Utumishi, majority wanafurahi kwenda kufanya usaili wkt hawajajiandaa. Mitihani haina miujiza ni lazima ujinoe haswa ili kuweza kufaulu.

Kila la kheri katika chaguo lako🙏🏾🙏🏾
 
Nakazia:lazima uwe umesoma haswaaa
 
Wakuu mlioitwa kwenye saili zinazoanza tar 28.. someni kabisa vijana, PSRS sio wajinga kutoa majina mapema, lengo kuu ni kuwapa vijana mda wa kujiandaa kiakili na kipesa..
Sasa we Endelea kujiandaa kipesa ukifurahi kuwa umeitwa Usaili na kufikiri kama umepata kazi mazima...!!! Hv Ile nyomi hamuioni..? Someni vijana msije kusema sikuwaambia pindi mtakapokandwa Hadi nywele za kisogoni😂😂

Hii quote inawahusu hizi familiar HESLB & NAOT..
Kwa upande wa UDSM watu washakandwa kitambo na washarudi makwao,, Leo wengine wameanza kukandwa kwenye Oral..

But nawatakia Kila la kheri wakuu, siku nitafurahi kuona members Wote tunaojuana humu JF tumepata kazi ndani ya Utumishi wa Umma.
 
Tuombeane tu wazee tutatoboa
 
Mkuu huo mkeka mwingine wa Heslb mbona sikuelewi mkuu.. ni majina ya Nyongeza au.. na kama ni hvyo mbona ni mengi sana
Sio nyingeza,. Ni majina ambayo pdf zake hazikua uploaded, kwa kujisahau au sababu nyingine za kiufundi, japo taarifa zilitumwa moja kwa moja.

Ukiangalia ule mkeka wa kwanzs kwa mfano, katika majina yanayoanzia P,. Zilianzia herufi za mwishoni kabisa, majina yanayoanzia Pa, mfano paulo, hayakuwepo.
 
Sio majina ya nyongeza.
Majina ya nyongeza nasikia yatatoka wiki hii mwishoni au wiki ijayo mwanzoni. Pia kama NOAT au HESLB uliomba na sifa unazo ila ukaandikiwa vyeti havijakuwa certified, usipige simu nenda ofisi kwao ili mwisho wa wiki hii au ijayo wakuweke kwenye pdf ya majina ya nyongeza, kuna sister angu kaenda leo pale ofisi za Dar kasaidiwa , awali aliwapigia simu ila hawakupokea hivyo akaamua kupanda gari kwenda ofisi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wazee japo matokeo hayajatoka ila nimekutana na multiple choice iloyoenda shule asee.

Hii ndo interview yangu ya kwanza utumishi ila kiukweli mambo magumu.

Zamani nilikuaga nawaza mnaokandwa written ni vilaza kumbe sio asee duh .

Utumishi utumishi
 
Interviews za Utumishi kuna haja ya kusoma aisee plus element of luck. Ila maandalizi muhimu.
 
Wadau nipeni ushauri kidogo nimeitwa kwenye mkando tarehe 28 nafasi ya AFISA MIKOPO DARAJA LA PILI taasisi board ya mkopo, lakini tarehe 27, 28 , 29 na 30 kunadili nimepata ya kufanya kazi siku hizo ikiwemo hiyo siku ya mkando tarehe 28. Dili lenyewe kwa siku ni laki mbili hivyo siku 4 naingiza laki 8. Je niende wapi kwenye mkando au kwenye dili la pesa. Kote muhimu ndio maana niponjia panda

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mmmh majaribu haya jaman
 
Wazee japo matokeo hayajatoka ila nimekutana na multiple choice iloyoenda shule asee.

Hii ndo interview yangu ya kwanza utumishi ila kiukweli mambo magumu.

Zamani nilikuaga nawaza mnaokandwa written ni vilaza kumbe sio asee duh .

Utumishi utumishi
😂😂😂😂Polee sana tunakuaga na akili sema ndo ivo mikando ya utumishi ni balaa vipi ulikuwa post gani?
 
Back
Top Bottom