ikongoc
JF-Expert Member
- Jan 13, 2018
- 325
- 312
sijui ashapata mrija huko ameamua kutukimbia wasaka mirija ya asali😂😂😂😂Ashapata ajira sio?anatukwepa jobless
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijui ashapata mrija huko ameamua kutukimbia wasaka mirija ya asali😂😂😂😂Ashapata ajira sio?anatukwepa jobless
aaah kumbe popote alipo aje atusalimie mana mda mrefu kapoteaKabadili ID MKUU
😂😂😂Kapata kazi kaamua kubadili idaaah kumbe popote alipo aje atusalimie mana mda mrefu kapotea
Kawakande awamu hii kiongoziWeek ya Mikando.
#MissionNAOT
Last seen Leo saa kumi na moja na nusu😂😂😂Kapata kazi kaamua kubadili id
Aje atusalimie kwa kweliaaah kumbe popote alipo aje atusalimie mana mda mrefu kapotea
😀😀😀 kaamua kufuta identity yake kabisa😂😂😂Kapata kazi kaamua kubadili id
Pambana bro uwanyoosheeWeek ya Mikando.
#MissionNAOT
aje atupe muongozo wakuishi na wanoko makazini sasa😂😂😂😂Last seen Leo saa kumi na moja na nusu
Atupe uzoefu that feeling ukiona jina lako pale kwenye placementaje atupe muongozo wakuishi na wanoko makazini sasa😂😂😂😂
Hahahha sijui alipata kazi aiseee Sheria anaulizia kazi ,kilimo yupo,uhasibu nako yupo hahahahahaha ukimuuliza anakuambia mpotezee na mtazingua kinoma 🤣🤣🤣🤣🤣aje atupe muongozo wakuishi na wanoko makazini sasa😂😂😂😂
😂😂😂😂😂Hako kafeeling nakasubiri week hii nije kuwahadisiaAtupe uzoefu that feeling ukiona jina lako pale kwenye placement
atutie moyo wapambanaji wenzake tupo mawindniAtupe uzoefu that feeling ukiona jina lako pale kwenye placement
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unaweza ukajikuta unacheka muda wote na hujui unacheka nini😂😂😂😂😂Hako kafeeling nakasubiri week hii nije kuwahadisia
😂😂😂 hatari sana sehemu zote yuppHahahha sijui alipata kazi aiseee Sheria anaulizia kazi ,kilimo yupo,uhasibu nako yupo hahahahahaha ukimuuliza anakuambia mpotezee na mtazingua kinoma 🤣🤣🤣🤣🤣
Tabasamu lake mkuu sikia tu kwa mtu usiku wa manane Kuna watu tulisema yesiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa sauti kubwa kinyama aiseee tukakumbuka na kusali usikumtu nipo na boxes Kwanza nikavaa ili nisali vizuri🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unaweza ukajikuta unacheka muda wote na hujui unacheka nini
Hatari Kuna watu wamesoma bwana acha kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤪🤪😂😂😂 hatari sana sehemu zote yupp
😂😂😂😂😂Hako kafeeling nakasubiri week hii nije kuwahadisia
Daah🤣Tabasamu lake mkuu sikia tu kwa mtu usiku wa manane Kuna watu tulisema yesiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa sauti kubwa kinyama aiseee tukakumbuka na kusali usikumtu nipo na boxes Kwanza nikavaa ili nisali vizuri