[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo hali nilikuwa naiita "at room temperature".
Room temperature ilikuwaga nyuzi 28 hadi 30 centigrade(reference ya kwenye prac).
Ila ukiingia ndani ya chumba cha pepa, hiyo room temperature inaweza ikafika 110°C[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] viganja vyote vikiwa vimelowana jasho.
Yaani ilikuwa unaweza kumeza defn dk 5 kabla hujaingja kwenye pepa, ila ukiingia na kuliona hilo swali, defn inavepa hapo hapo.