Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Oral ulifanya taasis Gani broTabasamu lake mkuu sikia tu kwa mtu usiku wa manane Kuna watu tulisema yesiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa sauti kubwa kinyama aiseee tukakumbuka na kusali usikumtu nipo na boxes Kwanza nikavaa ili nisali vizuri
😂😂😂😂😂Daah🤣
Tabasamu lake mkuu sikia tu kwa mtu usiku wa manane Kuna watu tulisema yesiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa sauti kubwa kinyama aiseee tukakumbuka na kusali usikumtu nipo na boxes Kwanza nikavaa ili nisali vizuri
😂😂😂😂Hapo lazima usali mzee hako kafeeling nadhani kanakuwaga ni katamu sana unapowakanda utumishiTabasamu lake mkuu sikia tu kwa mtu usiku wa manane Kuna watu tulisema yesiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa sauti kubwa kinyama aiseee tukakumbuka na kusali usikumtu nipo na boxes Kwanza nikavaa ili nisali vizuri
Sanaa😂😂😂😂Hapo lazima usali mzee hako kafeeling nadhani kanakuwaga ni katamu sana unapowakanda utumishi
Ili tusimuombe koneksheni[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Kapata kazi kaamua kubadili id
Nilipo hapa nina marks zangu zote(100%) ila baada ya kulifungua pepa zitaweza kudrop hadi 0% kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kawakande awamu hii kiongozi
😂😂😂😂Hizi ngoma zinazinguaga sana kama olevo nilikuaga kabla sijaingia kwenye pepa la chemia lazima nimeze defn ya mole na emprical formula maana nilikuaga nikizama tu kwenye pepa Yani nitakumbuka vyote lakini ikifika defn. ya mole na empirical formula zinapotea hahhhhNilipo hapa nina marks zangu zote(100%) ila baada ya kulifungua pepa zitaweza kudrop hadi 0% kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeondoka darasani miaka kadhaa iliyopita, madude yakawa inactive, naona PSRS wameyachokonoa na kuwa active kwa 5% hivi.Pambana bro uwanyooshee
😂😂😂😂Nimeondoka darasani miaka kadhaa iliyopita, madude yakawa inactive, naona PSRS wameyachokonoa na kuwa active kwa 5% hivi.
Sasa hizi 5% tu PSRS naona wanajichukulia point mapema na cleansheet kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi ngoma zinazinguaga sana kama olevo nilikuaga kabla sijaingia kwenye pepa la chemia lazima nimeze defn ya mole na emprical formula maana nilikuaga nikizama tu kwenye pepa Yani nitakumbuka vyote lakini ikifika defn. ya mole na empirical formula zinapotea hahhhh
Noma sana aisee[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂room temp inafika 100 ubongo unapoteza kila kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo hali nilikuwa naiita "at room temperature".
Room temperature ilikuwaga nyuzi 28 hadi 30 centigrade(reference ya kwenye prac).
Ila ukiingia ndani ya chumba cha pepa, hiyo room temperature inaweza ikafika 110°C[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] viganja vyote vikiwa vimelowana jasho.
Yaani ilikuwa unaweza kumeza defn dk 5 kabla hujaingja kwenye pepa, ila ukiingia na kuliona hilo swali, defn inavepa hapo hapo.
Kila la khery kwaoKumekucha na makucha ya jobless.
Mlio na mkando wa Oral leo, kila la kheri, Muumba awe nanyi.
Ndefu labda taasisi yako hyohyo.. Kuna Mshikaji wangu alipata Ajira za TARI then akaenda makao makuu Dodoma-Makutupora,, chap wakampanga zone/centre ya kazi kabla ya mwezi Mzee kaanza kupiga mzigoMie nimekuja kugundua kama process za interview mpaka placement zingeenda kama ivyotakiwa basi process ya kupangiwa kituo cha kazi ndo ndefu Zaid ya zote
🤣🤣🤣🤣, hao jamaa wana tabia chafu....Nimeondoka darasani miaka kadhaa iliyopita, madude yakawa inactive, naona PSRS wameyachokonoa na kuwa active kwa 5% hivi.
Sasa hizi 5% tu PSRS naona wanajichukulia point mapema na cleansheet kabisa
Kweli hata Mdau mmoja alivyopewa Barua Akatua Tarura akalipwa Substance Allowance siku 7 na Nauli. Na kazi anapiga now.Nde
Ndefu labda taasisi yako hyohyo.. Kuna Mshikaji wangu alipata Ajira za TARI then akaenda makao makuu Dodoma-Makutupora,, chap wakampanga zone/centre ya kazi kabla ya mwezi Mzee kaanza kupiga mzigo
Kumbe ukipata kazi Kuna kulipwa na hamsemi.Kweli hata Mdau mmoja alivyopewa Barua Akatua Tarura akalipwa Substance Allowance siku 7 na Nauli. Na kazi anapiga now.
Aisee watu wasiri sana humu ndani, na ni kwa kada zote au wateule wachache tu!?Kumbe ukipata kazi Kuna kulipwa na hamsemi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aisee watu wasiri sana humu ndani, na ni kwa kada zote au wateule wachache tu!?