Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naombeni ushauri wadau leo nimepigiwa simu ya kuripoti kazini private non profit org salary 1.4m na kesho natakiwa niende dom kupiga usaili naot nafas 3 nifanyeje akili imestuck
Hongera sana mkuu kwa kupata shavu hilo, kwani hata salary imenyooka.

Kwanza, Nakushauri ukaripoti kazini haraka iwezekanavyo, kazi za serikali zipo tu utaomba na kuhudhuria saili zao zingine ukiwa tayari uko kazini.

Pili, sijajua uko mkoa gani, kama upo mikoa ya jirani na Dodoma na pia umejinoa vizuri. Unaweza ripoti kisha ukatoa sababu za msingi ili uwe off siku mbili uwahi ukapige paper.
 
Niko mwanza kazi nilopata iko geita
 
Niko mwanza kazi nilopata iko geita
Nasisitiza tena, nenda karipoti kazini.

PSRS hawana undugu na mtu, usifikiri wote wanaoenda kukandwa kuwa hawana vijiwe, wanavyo kama hicho kijiwe ulichopata na sasa wanaendelea kupambana na PSRS.

Ukishaweka mambo sawa huko ulikoitwa, then anza tena kuwamulika PSRS tena utakuwa unahudhuria ukiwa na uhakika wa kumudu gharama
 
Sahihi kabisa,kupata kazi ni kazi hawlsa ukiwa huna kazi
 
Nafahamu watu wengi ambao wako private huwa wanakwenda kufanya saili Mbalimbali..lakini wanafanya huku tayari Wana uhakika na ugali wao
 
Asante
 
Mkuu nipe udhoefu kidogo na wengine wajifunze ulifanya vp mpaka ukapata hio kazi .coz job application kupitia emails na platform zao ni marachache sana kuwa shortlisted hasa UN ngos . We ulifanyaje mpaka ukatusua mkuu? Maana unfortunately we regret to inform u that😔😔 nimekumbana nazo vya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…