Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Hii ni betting tuu bro,humu humu ndio wanaingiaga wale wa connection piaAhahaah kanzidata ndo inanipa moyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni betting tuu bro,humu humu ndio wanaingiaga wale wa connection piaAhahaah kanzidata ndo inanipa moyo
Non profit kuna muda wanachelewesha mshaharaKama sio yakueleweka watakulipaje mshahara sasa??
Shida ni kwamba ukikosa NAOT unabaki unajilaumu unaitamani nafasi yako uliyoiachaNon profit kuna muda wanachelewesha mshahara
Dah ngoja nifanye maamuz sahihiShida ni kwamba ukikosa NAOT unabaki unajilaumu unaitamani nafasi yako uliyoiacha
Shida ni kwamba ukikosa NAOT unabaki unajilaumu unaitamani nafasi yako uliyoiacha
Lakini si Bado kuna placement unasubiri mkuu??Non profit kuna muda wanachelewesha mshahara
Fimbo ya mbali haiui nyokaNaombeni ushauri wadau leo nimepigiwa simu ya kuripoti kazini private non profit org salary 1.4m na kesho natakiwa niende dom kupiga usaili naot nafas 3 nifanyeje akili imestuck
Hongera sana mkuu kwa kupata shavu hilo, kwani hata salary imenyooka.Naombeni ushauri wadau leo nimepigiwa simu ya kuripoti kazini private non profit org salary 1.4m na kesho natakiwa niende dom kupiga usaili naot nafas 3 nifanyeje akili imestuck
Niko mwanza kazi nilopata iko geitaHongera sana mkuu kwa kupata shavu hilo, kwani hata salary imenyooka.
Kwanza, Nakushauri ukaripoti kazini haraka iwezekanavyo, kazi za serikali zipo tu utaomba na kuhudhuria saili zao zingine ukiwa tayari uko kazini.
Pili, sijajua uko mkoa gani, kama upo mikoa ya jirani na Dodoma na pia umejinoa vizuri. Unaweza ripoti kisha ukatoa sababu za msingi ili uwe off siku mbili uwahi ukapige paper.
Nenda kazini halafu endelea kuomba nafasi za utumishi, kadri zinavyoendelea kutangazwa.Naombeni ushauri wadau leo nimepigiwa simu ya kuripoti kazini private non profit org salary 1.4m na kesho natakiwa niende dom kupiga usaili naot nafas 3 nifanyeje akili imestuck
Mimi hapa ila nitaenda kwa usafiri wa Umma. Bus zinazopita Dom au kuishia DomHamna wanaoenda dom kesho humu kutokea dar
Nasisitiza tena, nenda karipoti kazini.Niko mwanza kazi nilopata iko geita
Sahihi kabisa,kupata kazi ni kazi hawlsa ukiwa huna kaziNasisitiza tena, nenda karipoti kazini.
PSRS hawana undugu na mtu, usifikiri wote wanaoenda kukandwa kuwa hawana vijiwe, wanavyo kama hicho kijiwe ulichopata na sasa wanaendelea kupambana na PSRS.
Ukishaweka mambo sawa huko ulikoitwa, then anza tena kuwamulika PSRS tena utakuwa unahudhuria ukiwa na uhakika wa kumudu gharama
Nafahamu watu wengi ambao wako private huwa wanakwenda kufanya saili Mbalimbali..lakini wanafanya huku tayari Wana uhakika na ugali waoNasisitiza tena, nenda karipoti kazini.
PSRS hawana undugu na mtu, usifikiri wote wanaoenda kukandwa kuwa hawana vijiwe, wanavyo kama hicho kijiwe ulichopata na sasa wanaendelea kupambana na PSRS.
Ukishaweka mambo sawa huko ulikoitwa, then anza tena kuwamulika PSRS tena utakuwa unahudhuria ukiwa na uhakika wa kumudu gharama
AsanteNasisitiza tena, nenda karipoti kazini.
PSRS hawana undugu na mtu, usifikiri wote wanaoenda kukandwa kuwa hawana vijiwe, wanavyo kama hicho kijiwe ulichopata na sasa wanaendelea kupambana na PSRS.
Ukishaweka mambo sawa huko ulikoitwa, then anza tena kuwamulika PSRS tena utakuwa unahudhuria ukiwa na uhakika wa kumudu gharama
Kila la heri kaka.Nimeamua kwenda kujilipua mkuu
Mkuu nipe udhoefu kidogo na wengine wajifunze ulifanya vp mpaka ukapata hio kazi .coz job application kupitia emails na platform zao ni marachache sana kuwa shortlisted hasa UN ngos . We ulifanyaje mpaka ukatusua mkuu? Maana unfortunately we regret to inform u that😔😔 nimekumbana nazo vya kutoshaAsante
244, wanahitajika 100Mi pia nilidhani kaka, mmeitwa wangapi kwenda oral?