Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Maana wale wa cut point wanakuaga na maajabu Fulani mpaka unajiuliza hawa wananitafuta ugomvi au vipi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚amna nasubiri ocean road mzee me nishanyoosha nguo mzee lazima nikachukue barua hata kwa ugomvi aseeh
Utapata kaka wakati ni wako huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…