Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jobless halisi ni mimi ambaye huwa lazima nibargain nauli boda boda au bajaj kama leo.

Yaani bajaj anakomaa eti buku, nikasema bora nipate boda kwa hii buku[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

NB: Hapa tuna jobless walioufubaza ujobless na jobless ambao ujobless wao upo active
Vipi kaka maswali wanakaza kwenye NAOT?Mimi kesho ndo naingia.
 
Hatukuwekewa kiyoyozi kwenye mkando, nimekuja kukipata huku kwenye gari.

PSRS sio ndugu zetu
IMG_20221027_171612_726~2.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nauli ni muhimu sana kubargain mzee usibargain hata Mungu mwenyewe hapendi
Kuna situation zinatulazimu kubargain mkuu.

Imagine watoa huduma wakiona kuna watu wengi wanapandisha nauli ili wapate cha juu
 
Vipi kaka maswali wanakaza kwenye NAOT?Mimi kesho ndo naingia.
Wameleta maswali 2 kuhusu Auditing ikibase kwenye kada yangu.

Maswali mengine 2 yapo kwenye practice ya kada yangu pia, kati ya haya 2, moja lilikuja kwenye written yangu ya kwanza. Ila kilichonigharimu ni kile tunachosemaga PSRS hawarudii maswali, hilo swali sikulifanyia revision ila naweza kuokoteza hata chache
 
Back
Top Bottom