Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yani jobless anakuja anadrive interview mnatufanya wengine tuhusi mna konneksheni kumbe hamna .

Mbwembwe za kuja na magari muache bhna mnakera
Jobless halisi ni mimi ambaye huwa lazima nibargain nauli boda boda au bajaj kama leo.

Yaani bajaj anakomaa eti buku, nikasema bora nipate boda kwa hii buku[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

NB: Hapa tuna jobless walioufubaza ujobless na jobless ambao ujobless wao upo active
 
😂😂😂😂nauli ni muhimu sana kubargain mzee usibargain hata Mungu mwenyewe hapendi
 
Back
Top Bottom