Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Poa tu sema wametukalisha sana, maswali mawili nlikuwa nayajua kabisa, moja nmekumbuka points tatu walikuwa wanataka tano, moja silijui kabisa[emoji23][emoji1787]
😂😂😂😂Hayo maswali ya point tano siyapendagi kichizi yani unakuta point unazijua mbili au tatu asa zingine ndo chenga kabisa
 
Swali la tano tangu nianze kusoma first year hadi namaliza law school sijawah ata lisikia, cha ajabu nmejibu Mungu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Wewe upo kama mimi naonaga Bora hata niwadanganye tu kuliko niseme sijui au siwezi
 
Nimepata chimbo langu la bei rahisi huku nzuguni.bei ya room per day ni elfu 8,maji yapo,na chumba ni kizuri tu.mtaani chai kikombe ni 200/=,andazi 200/= chapati ni 300/=.supu inaanzia 1000/=,ugali dagaa ni kuna wa 1000/= na wa 1,500/=.
Naamini nimepunguza cost mno tofauti na ningekaa maeneo ya town huko.
Chief ni chimbo Gani Hilo. Tupeane connection mkuu. Je room zikoje self au kawaida!?
 
Swali la kwanza tell us the history of ur education and professional history
2. Three types of tortuous liability
3. Five ways on how a contract can be discharged
4. Five stages when exhibits can be tendered in court
5. Five instruments of statutory legislation
Hapo unatakiwa upate 50 tu ujngie kwenye mrija wa asali
 
Back
Top Bottom