billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,443
- 1,656
Vipi kaka maswali wanakaza kwenye NAOT?Mimi kesho ndo naingia.Jobless halisi ni mimi ambaye huwa lazima nibargain nauli boda boda au bajaj kama leo.
Yaani bajaj anakomaa eti buku, nikasema bora nipate boda kwa hii buku[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
NB: Hapa tuna jobless walioufubaza ujobless na jobless ambao ujobless wao upo active