Mwaisa1202
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 482
- 1,076
Bado hawajaita kuna mdogo angu aliomba nae anasubiria...nadhan baada ya saili hizi kuisha ule unafutaWakuu kwema naomben kuuliza, hivi ule mkeka wa ASA accountant II kuna mwenye taarifa nao
Humu huwa tunapata faraja sana aseeh unakuta siku hiyo imekuendea vibaya ukija huku kidogo maisha yanaendaYani mm huwa si comment but nafarijika sanaa
Asee wote tutaaga ujobless humu Amin🙏
Kumbe tuko wengiHumu huwa tunapata faraja sana aseeh unakuta siku hiyo imekuendea vibaya ukija huku kidogo maisha yanaenda
Kama wewe ni mzoefu wa kusafiri usiku utakua unapafahamu Kibo. Pale huwa na IT za usiku, privates na rental achilia mbali malori. Mkiwa wengi inaitwa Coaster. Mimi nimeingia Dom asubuhi saa kumi na mbili. Mchana nikakandwa na kugeuza na sasa nipo DarUsiku bus zinakuepo?
Pole mkuu,me pia nipo Dom nimefika saa saba ma hapa nipo stand tu,pakikucha naingia huko then nageuza.Yani inataka moyo sn haya mapambano.Kama wewe ni mzoefu wa kusafiri usiku utakua unapafahamu Kibo. Pale huwa na IT za usiku, privates na rental achilia mbali malori. Mkiwa wengi inaitwa Coaster. Mimi nimeingia Dom asubuhi saa kumi na mbili. Mchana nikakandwa na kugeuza na sasa nipo Dar
Nashauri kazi mziache mkishapewa barua za kuanza kazi, maana ule mchakato wa kukamilisha taratibu za kazi unachukua muda mrefuNadhani kesho au kesho kutwa weekend ndo wanafanyaga maajabu
Sema wakiweka asaivi kesho naamuka na barua yakuacha kazi yani
TGS acha tu mkuu.[emoji18][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TGS haina hata allowance yakuvunjika mguu au sio?
😂😂😂😂😂Mchakato ule sijui wanafanyaga nini mpaka unakuwa hivyoNashauri kazi mziache mkishapewa barua za kuanza kazi, maana ule mchakato wa kukamilisha taratibu za kazi unachukua muda mrefu
Mlitoka saa ngapi baada ya mkando?Kama wewe ni mzoefu wa kusafiri usiku utakua unapafahamu Kibo. Pale huwa na IT za usiku, privates na rental achilia mbali malori. Mkiwa wengi inaitwa Coaster. Mimi nimeingia Dom asubuhi saa kumi na mbili. Mchana nikakandwa na kugeuza na sasa nipo Dar
NAOT per diem nyingi sana mkuu.Mbona hata Naot ni TGS D ndugu. May be kitachotofautisha hapo ni marupurupu basi
Huenda uhakiki wa nyaraka unafanyika tena na mchakato wa kuingizwa kwenye payroll unafanyika pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchakato ule sijui wanafanyaga nini mpaka unakuwa hivyo
Huenda uhakiki wa nyaraka unafanyika tena na mchakato wa kuingizwa kwenye payroll unafanyika pia
itakuwa yupo kazini asaiviHivi muasisi wa huu uzi ( lerman3x ) yupo wapi?
Au alishaingia kwenye mrija wa Asali na kaamua kula Asali kimya kimya
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mie nasubr wa veta kudadeki zao na nikikosa sijui itakuaje
Wawe siriuz jmnADEM, IFM, CBE, MWEKA, na IJA fanyeni jambo basi
ugumu wa mitihaniShida nini mkuu??