Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Kwakweli hizi kazi mtu umeusubiri placement umechekelea unajua ushamaliza,unakaa Tena kwa stress unasubiri uitwe dah..hapo ukitoboa adult nenda tu sidhani kama kule michakato itakua mirefu hivyo,shida ni kwamba endapo utakua ushaingia kwenye mfumo tayariConnection ndugu nishaona Sina hapa🤣🤣🤣 hata sina wa kumuuliza mwezi Sasa umeshaisha mwezi ujao Mwishoni nitaenda dodoma kwa mkurugenzi nimkande maswali why kimya mpka ashangae kwa kweli na Nampa na Marks atakazopata below 50 Kuna rushwa naenda takukuru 🤣🤣🤣