Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwa nini akuulizie wakati nipo hapa[emoji3]. Wale wa TRA walianza na training haikuchukua muda, aliepata halmashauri sehemu ilikuwa vacant kabisa so mwezi wa 12 ilibidi aende kufanya kazi na hayo mambo yakusubir check no alikuja kupata mwezi wa pili mwanzoni kama sikosei. Mastate attorney wa juzijuzi mwezi wa saba sijui wa nane walivyochukua barua waireport kazini within 2 weeks ilivyotakiwa na washaanza kazi ila sijui malipo inakuwaje,, mimi nahisi hii pia inategemea na uharaka wa kumuhitaji huyo mtu, mfano mastate attorney karibia wote hadi wale wa parliamentary draftman wameazimwa na NPS mpaka mwezi wa kwanza maana NPS hawakuwa na watu kabisa.
Sawa acha tusubri mkuu ASANTE kwa maelekezo🙏
 
Hvi waliopata kazi wakifika wanawezeshwa kiuchumi au inakuaje hapo pork una uzoefu kidogo umezungukwa na Wala asali🤣
 
Kwa nini akuulizie wakati nipo hapa[emoji3]. Wale wa TRA walianza na training haikuchukua muda, aliepata halmashauri sehemu ilikuwa vacant kabisa so mwezi wa 12 ilibidi aende kufanya kazi na hayo mambo yakusubir check no alikuja kupata mwezi wa pili mwanzoni kama sikosei. Mastate attorney wa juzijuzi mwezi wa saba sijui wa nane walivyochukua barua waireport kazini within 2 weeks ilivyotakiwa na washaanza kazi ila sijui malipo inakuwaje,, mimi nahisi hii pia inategemea na uharaka wa kumuhitaji huyo mtu, mfano mastate attorney karibia wote hadi wale wa parliamentary draftman wameazimwa na NPS mpaka mwezi wa kwanza maana NPS hawakuwa na watu kabisa.
Kumbe Kuna kuazimana Tena wafanyakazi🤔 basi na mie SI waniazime tu jamani 🤣
 
Kwa nini akuulizie wakati nipo hapa[emoji3]. Wale wa TRA walianza na training haikuchukua muda, aliepata halmashauri sehemu ilikuwa vacant kabisa so mwezi wa 12 ilibidi aende kufanya kazi na hayo mambo yakusubir check no alikuja kupata mwezi wa pili mwanzoni kama sikosei. Mastate attorney wa juzijuzi mwezi wa saba sijui wa nane walivyochukua barua waireport kazini within 2 weeks ilivyotakiwa na washaanza kazi ila sijui malipo inakuwaje,, mimi nahisi hii pia inategemea na uharaka wa kumuhitaji huyo mtu, mfano mastate attorney karibia wote hadi wale wa parliamentary draftman wameazimwa na NPS mpaka mwezi wa kwanza maana NPS hawakuwa na watu kabisa.
😂😂😂😂Amenipatia fursa jobless mwenzie yakuja dm kuuliza swali hahhh
 
Back
Top Bottom