Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Nafasi iko wazi ni juhudi zako tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mamlaka uliyonayo naomba unipatie hiyo nafasi hahhhh
[emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafasi iko wazi ni juhudi zako tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mamlaka uliyonayo naomba unipatie hiyo nafasi hahhhh
Tunainua majobless[emoji3][emoji3]Hahahaha unampigia kampeni kabisa kijana wako
Sema huyu karibu anavuta mrija wa asali😂😂😂😂Kwa mamlaka uliyonayo naomba unipatie hiyo nafasi hahhhh
😂😂😂😂😂dalili zinaonekana au sio?Sema huyu karibu anavuta mrija wa asali
Liko wazi Hilo bro🤣😂😂😂😂😂dalili zinaonekana au sio?
Kuna matukio ukifanya wakati wa ukaguzi au ndani ya venue, unakua noted sana na wale jamaa wa psrs, wanakua wameshakukariri.Ikiwa hivyo unyama haswa.
Imagine hadi masupervisor washanitambua, kwenye ukaguzi hata hawahangaiki kivile, wakiniangalia tu usoni wanaishia kugeuza vyeti kama wanafungua kurasa za kitabu na kuniambia karibu tukukande[emoji3][emoji3][emoji3]
Amen kaka, Ubarikiwe[emoji3059]Asante kwa somo prok.
Pole kwa kuibiwa na panya road na pia hongera kwa kusimama tena.
Tough times never last but tough people do.
Kabisa kaka, hawa watu wanatuumiza sana aiseePole sana mkuu.
Hiki kitu ndio nimejifunza kwenye uwekezaji.
Panya road ni watu wabaya sana, hawa tunaoona wanachomwa moto huku Dar huwa natamani achomwe halafu aipuliwe kabla hajakata roho ili ayasikilizie maumivu halafu arudishwe tena jikoni amalizikie.
Kwa hiyo katika kuwekeza, security ni kipaumbele, iwe ulinzi wa goli au ulinzi wa backup ya mtaji.
Ukiwa na kazi rasmi angalau pana unafuu hata kama mambo yakizingua hautaweza kulala njaa.
Tuendelee kupambana kwa namna mbalimbali tunazoona zinafaa ili tuweze angalau kuwa stable kwenye vijisenti
Kuna kipindi uzi ulivamiwa na "warusi na wa-ukrain" wa bongo, kile kipindi kikapita, ukavamiwa na "jamaa muuza smart tv 50inch", kile kipindi hakikudumu pia.Nafasi iko wazi ni juhudi zako tu.
[emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂Ukiona tunapiga story zingine tunavuta muda ili kesho wakishaweka placement tuanze kuzijadili na jinsi yakwenda kuchukua barua utumishiKuna kipindi uzi ulivamiwa na "warusi na wa-ukrain" wa bongo, kile kipindi kikapita, ukavamiwa na "jamaa muuza smart tv 50inch", kile kipindi hakikudumu pia.
Naona sasa uzi uko katika "unyama mwingi sana" Meckpro vs Prok.
Kesho kama kesho😂😂😂😂Ukiona tunapiga story zingine tunavuta muda ili kesho wakishaweka placement tuanze kuzijadili na jinsi yakwenda kuchukua barua utumishi
Kwakweli huu Uzi upewe ulinzi,mi Kuna muda nasema siingii psrs naingia kwenye Uzi kule kama pdf lipo tayari ntajua tuKuna kipindi uzi ulivamiwa na "warusi na wa-ukrain" wa bongo, kile kipindi kikapita, ukavamiwa na "jamaa muuza smart tv 50inch", kile kipindi hakikudumu pia.
Naona sasa uzi uko katika "unyama mwingi sana" Meckpro vs Prok.
😂😂😂😂Ndo leo sasa uhakikaKesho kama kesho
Mzee kuwa makini kwanza hizi ni taarifa ni rasmi au mastory ya town?😂😂😂😂Ndo leo sasa uhakika
"Watakaoajiriwa MDAs & LGAs watatoka kwenye interview iliyofanywa ya NAOT. Hakutokua na interview ya MDAs & LGAs. Zile za TRA usitegemee kuzisikia tena mpaka mwakani watatangaza upya kazi" Nimenukuu kwa mtahiniwa mwenzangu janaMkeka la MDA's & LGA's umepasuliwa mara mbili,. Awamu ya pili utahusisha wahasibu na wakaguzi wa ndani,. Awamu hiyo itahusisha mkeka wa NAOT,. Tuendelee kupiga msuli. Hatujui siku wala saaa.
Hakuna kitu kama hicho."Watakaoajiriwa MDAs & LGAs watatoka kwenye interview iliyofanywa ya NAOT. Hakutokua na interview ya MDAs & LGAs. Zile za TRA usitegemee kuzisikia tena mpaka mwakani watatangaza upya kazi" Nimenukuu kwa mtahiniwa mwenzangu jana
Waiting waiting bro😂😂😂😂Ndo leo sasa uhakika
Uzi mrefu kwelikweli,huu kuisha ni ngumu labda wote tupate placementsAh Uzi Unaendelea.👏👏