Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Umesema kweli aisee
Hongera sana kwake huyu dada kwa kuwa-inspire vijana wakaze buti wasikate tamaa.Kipekee,amewa-inspire mabinti kutojiachia ovyo kwa sababu ya shida kwani eventually THERE IS NO PERMANENT SITUATION haya nayo ya u-jobless yatapita,mtaeanda level zingine baada ya kupata kazi uta-move kuangalia greener pastures
 
Ni kweli kabisa haya yote yatabaki historia one day
 
Wadau naomba kuuliza swali. Ipo hivi walioomba nafasi ya assistant lecturer Kwa vyuo vya UDOM, SUA, MUCE, DUCE na MUHAS wapo wawili (na nafasi hapo Kwa kila chuo ni 2 post) na watu hao wameappear huko kote alaf nasikia wote wameconfirm DUCE. hivyo vyuo vyote vilivyobaki vinakosa hao assistant lecturers na hizo nafasi kuwa wazi.

Je utumishi hawawezi kuchukua wale walioomba kama Tutorial Assistant ili walau wawaendeleze na baadae wawe assistant lecturers?

Au nafasi zitatangazwa upya?

Muongozo tafadhari😅
 
Zinatangazwa tena TA hawezi kufanya kazi za assistant lecturer
 
Ameni kaka. Ubarikiwe pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…