Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii ndio inaitwa kuokoa muda sio interview manafanya alafu majina kutok sasa ni bora wange toa majina ukajua kimoja ata ukiambiwa kureport ni 2030 fresh ila ushajua kimoj
Yaani, wamefanya Chap mnoo, yaani ndani ya siku 40 wamefanya mambo ma3. wametangaza ajira, wameita watu interview na sasa wameitwa kazini.
 
Wanajamvi nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nn kinacho endeleea.
Wakuite uanze kazi bila.fungu kutoka si utaanza kulia njaa mapema sanaa mkuu..tulia fungu litoke kisha utapewa placement yako
 
Back
Top Bottom