Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Upo sawa kabisa ni mida hiyo ila uhakika hapo Ngoma saaa tatu sema nimekua Kama mimebet najua kabisa lazima mkeka utoke jioni ila Kila time nipo placement dah maisha haya
Boss, Hivi ikitokea umekuwa shortlisted si pale kwenye Application status panabadilika from "Received". Or Kuna sehemu nyingine ya kucheck ?
 
Nimetobooa kiaje mimi nimemtumiia jamaa apate kuelewaa...
maana jobless wa kada yangu tumejazana wa kutosha kitaa wengine wapo wanapigika na wahindi.
hapa kikubwa dua, na maombi yako yatimiie.
Mkuu, hivi bado mkeka wako hujatoka tu kijana, Jana si ulisema tar 1 August ambayo ni leo.
 
Hapa kwenye kupigika na wahindi kitaa ndio shida ya vijana wengi sana....tuombeane tu😂
Nimetobooa kiaje mimi nimemtumiia jamaa apate kuelewaa...
maana jobless wa kada yangu tumejazana wa kutosha kitaa wengine wapo wanapigika na wahindi.
hapa kikubwa dua, na maombi yako yatimiie.
 
Upo sawa kabisa ni mida hiyo ila uhakika hapo Ngoma saaa tatu sema nimekua Kama mimebet najua kabisa lazima mkeka utoke jioni ila Kila time nipo placement dah maisha haya
Noma aiseee tuchungulie chungulie wiki hii
 
Hapo mpaka baada ya tarehe 22 mkuu nishaona lazima Kuna mtu kaniambia mchakato kikawaida huwa unachukua miezi miwili aiseee
nipetia PDF za kuitwa makazini huwa inachukuua siku 30 mpaka 45 ndio mkeka huwa unatokaaa.
na vilevile kila cku 10 za mwanzo wa mwenzi wanakawaida ya kuaachia mkeka.
sasa hapo. ukimya wao mpakaa sasa, sijajuaaa labda wanasababu zao.
 
Inaweza ukawa unasema kweli ila nenda pale placement Kuna mkeka ulitoka juni 3 wa watu walifanya interview march miezi mitatu kasoro mkuu
 
TENA NA HII SENSA Kila sehemu wamefunga ,shule mpka vyuo mwezi wa Tisa au huu mwishoni aiseee
 
Sasa sensa inahusiana vipi nakuita watu makazini [emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
 
nipetia PDF za kuitwa makazini huwa inachukuua siku 30 mpaka 45 ndio mkeka huwa unatokaaa.
na vilevile kila cku 10 za mwanzo wa mwenzi wanakawaida ya kuaachia mkeka.
sasa hapo. ukimya wao mpakaa sasa, sijajuaaa labda wanasababu zao.
Hiii nayo ni point zanaaaa
 
Back
Top Bottom