Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mishe za kitaa za kimitego tego siku nyingine siku zinapita patupuMkuu sasa kama mishe zenyewe ni kuunga-ungaa wacha watu wa survey kwny website ya utumishi kila siku wajipe stress.
Nan kakwambia vijana hatuna Subra, sisi tumeanza uliziia baada ya mwez mmoja kukataa, tupate Feedback kwa wazoefu, lakini watu wanausoma Uzi na kuuvungiaa. au wengine wanatupa maneno ya kukatishana moyo.subirini sensa ipite .... tutakuiteni tu..
Mbona hamna subira nyinyi vijana? mtaweza kazi za serikalini kweli?
Subir sensa ikwishe mkuu.. kuwa na subraNan kakwambia vijana hatuna Subra, sisi tumeanza uliziia baada ya mwez mmoja kukataa, tupate Feedback kwa wazoefu, lakini watu wanausoma Uzi na kuuvungiaa. au wengine wanatupa maneno ya kukatishana moyo.
Kwan Kuulizia kitu ni ujinga??
Uvulivu na subra ya pdf placement unahitajika mnoNdio
Duuuh au january 6Naona apo hadi December
Bora wewe placement, wengine hawajui kama watakuwa shortlisted angalau waitwe DodomaUvulivu na subra ya pdf placement unahitajika mno
Hahah kuna zile ajira za TRA toka mwez wa 4 mpk leo watu hawajaitwa Usaili [emoji2][emoji2].Bora wewe placement, wengine hawajui kama watakuwa shortlisted angalau waitwe Dodoma
Kwa hiki kinachozungumzwa humu basi hizo Ajira za TRA mpaka kuita kazini itakuwa mwakani Mwanzoni.. maana huu mwaka ushaisha wakuu, kama Usaili tu bado, Waite Usaili mpaka mchakato wa placement, hiyo ni mwaka ni kabisa.Hahah kuna zile ajira za TRA toka mwez wa 4 mpk leo watu hawajaitwa Usaili [emoji2][emoji2].
Sema hii Nchi inahitaji uwe na Subra tuuu.
Tusubiri Sensa iishe labda September mikeka inaweza anza mwagika
maana Utumishi now wanatangaza nafasi za kazi tu lkn kuhusu Usaili au kupangiwa watu kazini sioni.
Nawale wanaosubiri placements nao mda ganiKwa hiki kinachozungumzwa humu basi hizo Ajira za TRA mpaka kuita kazini itakuwa mwakani Mwanzoni.. maana huu mwaka ushaisha wakuu, kama Usaili tu bado, Waite Usaili mpaka mchakato wa placement, hiyo ni mwaka ni kabisa.
Na wale walioomba kazi mwezi wa 6 na 7 wategemee mwishoni mwa mwaka kuitwa interview.
Yaan kama uko Mtaani Endelea kupiga Mishe zako.. utumishi wako Overwhelmed for now.. Kazi zimewazidi narudia tena kazi zimewazidi
August hii hii kiongoziHawawez kuita Kada zote zile kimya kimya.
lazima PDF itokeeee. Hii August lazima tujuwe mbivu na mbichi
Watakuwa wanaandaa MaPdf maana mambo yatakuwa yamesongamana sana, mwezi wa 6 nafasi nyingi zilitangazwa sanaHahah kuna zile ajira za TRA toka mwez wa 4 mpk leo watu hawajaitwa Usaili [emoji2][emoji2].
Sema hii Nchi inahitaji uwe na Subra tuuu.
Tusubiri Sensa iishe labda September mikeka inaweza anza mwagika
maana Utumishi now wanatangaza nafasi za kazi tu lkn kuhusu Usaili au kupangiwa watu kazini sioni.