Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ila wadau tuseme tu ukweli.. ukiwa umeomba kazi PSRS tena au umefanya interview tena kitambo.. ujasiri wa kukaa kutwa nzima bila kuingia website ya Ajira unautoa wapi.?😁😁😁
Huwezi mkuu sema website yao haifunguki naona Kuna pdf wanapandisha huko
 
Hamna Cha PDF hata nini web yao tu imecollapse.. Yaan kipdf hata MB 20 hakifiki ndo mda wote huu...!!
Ipo hivyo wakiwa wanapandisha hapa ka pdf ka kb 436 inazingua tu utaona ikirudi Kama hujakuta mkeka wa interview,kuitwa kazini au tangazo la kazi
 
Hawa jamaa kuna mchezo wanatuchezea nadhan,mfano kuna zile nafasi za TPA walizoita watu kazini tarehe 12.7.2022,tangazo limeondolewa makusudi kabisa na pia kwenye status za waliokua wameomba izo nafasi na kuitwa oral kule kwenye account zao wameondoa selected na imekua kama hazijawahi kuitwa kwa ajili ya interview,ni kama kulikua na udanganyifu.
Na pia kuna nafasi walitangaza toka mwezi wa tano around yatehe 28 hadi leo ni received to kwa status.Watwambie tu basi ukishaomba uwe mtulivu maana wametangaza kwa bahati mbaya tu hazina haraka.
 
Hawa jamaa naona wahuni tuu.. Mtu una apply ajira 5 zote huitwi hata mojaaa[emoji1787][emoji1787]
Hiyo haiumii kama sanaa kama kusubiriia mkeka wa kuitwa kazini..
baada ya kupambana na Written na Oral. Halafu unashangaa mambo yapo kimyaa..
 
Inamana za TpA zimepigwa tayariii pia kuna zile sita walizoongeza
 
Hawa jamaa naona wahuni tuu.. Mtu una apply ajira 5 zote huitwi hata mojaaa[emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa, hapo ndio utajua sasa keki ya Taifa ni ya wachache.

Uliomba nafasi hadi 5?
 
Hiyo haiumii kama sanaa kama kusubiriia mkeka wa kuitwa kazini..
baada ya kupambana na Written na Oral. Halafu unashangaa mambo yapo kimyaa..
Angalau mliopita hizo hatua mnaweza kuwa na matumaini hata ya kuwekwa kwenye kanzi data.

Ambao tunasubiri kuitwa angalau written interview ndio giza nene sana
 
Mtaitwa tu lazima shortlist itoke
 
Back
Top Bottom