Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kuna huu mzigo wa MUHAS wenye sifa mpambanie ugaliView attachment 20220908462206TANGAZO ACADEMIC POSTS MUHAS AUGUST 2022 (1) REVISED.pdf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuitwa hii si itakuwa NovemberKuna huu mzigo wa MUHAS wenye sifa mpambanie ugaliView attachment 2319779
itakuwa mwakani mwezi kama huu kudadekikuitwa hii si itakuwa November
Cheki cheki mkuu hili pdf letu halielewikiNafasi zangu za kuomba nimeziona Mule.. japo siooni hizo post kwny ajira Portal.
Hata mwakani kabisa😀😀kuitwa hii si itakuwa November
Itakuwa bado hawajazipandisha hukoNafasi zangu za kuomba nimeziona Mule.. japo siooni hizo post kwny ajira Portal.
Kweli mkuu inatakiwa wafanye hivyo ili wapunguze jamHili suala la pdf za shortlist na placement lishakuwa gumzo ukiangalia bado kuna taasisi nyingi zina vibali vya ajira mpya tangu July hivyo kuna hofu kubwa utumishi kuzidiwa kutokana na wingi wa majukumu ni ushauri tu kwa ambazo zipo tayari mchakato wake vyema waka publish iwe placement au shortlist ili kupunguza mlundikano wa majukumu
Kuna application nyingi mno zipo received hadi sasa kwa utashi wangu lenye mzigo mkubwa ni TRA hivyo hizi nafasi zenye uhitaji mdogo zingepekekwa kwa muda mzuri zingewapa ufanisi na unafuu kwa zile zenye wingi mnoKweli mkuu inatakiwa wafanye hivyo ili wapunguze jam
Hii ya placements sijui wanakwama wapi, wanaoitwa kwenye oral huwa ni wachache, hapo naona sio kazi kivile(ingawa sijui hiyo process ilivyo) ni kitendo cha kuchukua aliofaulu oral na kumuweka kwenye nafasi husika.Ukiangalia placement inayosubiriwa sana ni watu waliofanya usaili 18 -27 May
-Veta
-Mzumbe University
-TIE
-GPSA
-Muhimbili
-CBE
-TPA
-DART
-TRO (Hazina)
-NCAA
-MUSOMA
-UDSM
-WIZARA YA AFYA
-OFISI YA BUNGE
ka mkeka kakitoka katashiba sana japo humo nafasi ni moja nyingi zaidi tano wasakatonge waendelee kuwa na subra [emoji120]
Ukizingatia nafasi ni chacheHii ya placements sijui wanakwama wapi, wanaoitwa kwenye oral huwa ni wachache, hapo naona sio kazi kivile(ingawa sijui hiyo process ilivyo) ni kitendo cha kuchukua aliofaulu oral na kumuweka kwenye nafasi husika.
Hadi leo nyinyi bado hamjaitwa kaziniKuna sisi tulifanya usaili Ministry of Land, Land officers na surveyors.
Tulifanya usaili tarehe 12 May kama sikosei then oral tukafanya tarehe 17 may. Ila placements za watu tulofanya nao na waliofanya mbele yetu zimetoka, mfano TPA, mastaste attorneys, Parliamentary Draftmen ila sisi bado, naweza kuwa nmepata au nimekosa ni mipango ya Mungu, ila huu muda na Wizara au Utumishi ndo najiuliza tatizo ni nini
Nimegundua Vyuo husika ndio wanaratibu saili zao ndio maana mambo yanaenda haraka mfano MUST na sasa OUT, PSRS wao wanatumika kushortlist tuKuna shortlist ya opennm university pale wiki utasikia placement imetoka after interview
Kweli ndiyo maana mambo yao yanaenda haraka sana mkuuNimegundua Vyuo husika ndio wanaratibu saili zao ndio maana mambo yanaenda haraka mfano MUST na sasa OUT, PSRS wao wanatumika kushortlist tu
Taarifa chini ya kapeti, mfumo wa serikali unasumbua ndo mana ajira nyingi zimesimama, mpaka mfumo ukae sawa ndo wataendelea na kuita kada nyingine.
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app