Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mfumo wa malipo kwa waajiriwa wapya rejea huu Uzi Serikali, waokoeni waajiriwa wapya!

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app

Nakuunga mkono, inawezekana ni kweli. Japo kama ni kweli wanakosea sana, kwa sasa wadogo zetu wanachokilalamikia ni angalau waitwe kwenye usaili na makazini ili wawe na uhakika na sio kulipwa.

Huku wanaendelea na hizi hatua zingine za usaili, ni muda huo huo ungetosha kuendelea na ukarabati wa huo mfumo.
 
Wakati mfumo upo na waite watu kwe usaili na makazini huku wakiendelea na marekebisho hayo nadhani huko makazini lazima kuna kuwa na semina za muda nadhani wakati huo ndiyo ingekuwa wanatumia muda huo ipasavyo
 
Yani mimi naona zile interview walizokwish kuita watu wange toa placement pdf zao kabsa maana ni nyingi, kabla ya kutoa matangazo mengine mapya ya ajira.
Wazo hili nalo ni jema sana,,,,Kupunguza mlundikano ambao unazidi kuongezeka
 
Hizi Placement naona trh yetu 12 August mkeka utatema.
Sensa haihusiani na INTERVIEW n Placement . kama Mkeka wa INTERVIEW wa Open University umetoka.
nina uhakika ni jambo la muda tu. Utumishi nao wataachia Mikeka hiyoo
 
Swadakta.. Wale wa TRA jiandaeni soon
 
Hizi Placement naona trh yetu 12 August mkeka utatema.
Sensa haihusiani na INTERVIEW n Placement . kama Mkeka wa INTERVIEW wa Open University umetoka.
nina uhakika ni jambo la muda tu. Utumishi nao wataachia Mikeka hiyoo
Kweli sensa haihusiani ilimradi upo tanzania utahesabiwa popote pale utakapoamkia
 
We jamaa unatia huruma sana.. kama unaamini umo si utulia basi usubirie siku kuliko hizi pressure zisizo na ulazima
Ahahaha kuishi kwa masikitiko
We jamaa unatia huruma sana.. kama unaamini umo si utulia basi usubirie siku kuliko hizi pressure zisizo na ulazima
Hata uhakika ninao basi! Hii Application ya 20 hii ndiyo ya kwanza kuingia oral ni kama nimenunua tv mpya vile kila saa nacheck deo
 
Back
Top Bottom