Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kumekucha mapambano yanaendelea kimaisha
Hahahaa Hii PDF tumeipa siku 3 tu, kama hadi na hapo kimya tusikilisiie baada ya Sensa. [emoji23][emoji23]
Maana sasahivi hakuna Mkeka wa Usahili wala Placement
 
Kwahiyo tusikilizie leo kesho na kesho kutwa baaaaasi otherwise After sensa! Ila pale placements hamna wala call for interview hamna
 
Ndio hivyo master baada ya hapo tujipumzishee na Huu Uzi ndani ya hizo siku 3 tukiona kimya..
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli ngoja tuone kuanzia leo nini kita happen ila kama kaimani ninacho wiki haiiishi hivi
 
Taarifa chini ya kapeti, mfumo wa serikali unasumbua ndo mana ajira nyingi zimesimama, mpaka mfumo ukae sawa ndo wataendelea na kuita kada nyingine.

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Maajabu, huwezi kusikia mfumo wa kulipana posho na perdiem umesumbua, au mfumo wa kutukata tozo
 
Back
Top Bottom