Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Safi sana
 
Hongera sana mkuu.

Maombi yaelekeze na yazidishe kwenye ile unayosubiri placement, hizi written hazitabiriki
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Usikata tamaa Jobsekeers mwenzetu naamini Mungu atasaidia kwa hizi za karibuni..
Inshallah
Mwaka ndio nimeuhitimisha, sijui kama nafasi yangu itatoka lini tena maana ni rare sana kutoka mara kwa mara.

Mwaka huu ikawa dhari zikatoka angalau chache kwa waajiri tofauti.

PSRS nao wamejiondokea na Cleansheet(yaani unbeaten kama Uto[emoji3][emoji3])
 
Mkando uliisha kwenye saa kumi na moja. Saa kumi na mbili nipo ndani ya Tembo bus service ya kutoka Kahama, nikatua Dar saa nane kasoro.
Ulijitahidi sana kufika nane nane mapema, au ulilinyaka bus mjini?

Mimi Alhamisi nikiondoka saa 12 jioni na ABC nikafika saa 7 kasoro, ABC inaenda mwendo wa kiistarabu hata kuovertake Dere anaogopa, ingekuwa gari za papara papara ningefika saa 6 kasoro
 
Nilikua na received 3 na bado zipo tatu. Application toka mwezi wa nane
 
Nlikuwa na received 12 [emoji23] kwa huu mwaka, nmebakisha received 3, received 1, nlikataliwa kufanya sikuwa na chet cha kuzaliwa original, received moja nlifanya mpaka oral pracement bado, received mbili sikufanikiwa kufika oral , received mbili nyingine sikufanya ratiba ziligongana nlikuwa na interview nyingine Dar ya uhakika private ila personal interests zikatokea nkamwachia Mungu, received 3 nmefanya 1 maana ilikuwa muda mmoja na ulitakiwa kuchagua moja, hiyo moja nlifika oral nasubir placement, received 1 ndo ya NAOT nasubir, bado received tatu, TRA, foreign affairs yenyewe kama yenyewe na foreign affairs ya MDA.
 
Huu mwaka nimefanya application 8, nimeitwa interview 5.
2 nimezipotezea, 3 nimeenda na zote nimefika oral, Moja ya MUHAS placement tayari na sijapata. Hii ya MUHAS ilikuwa ni oral pekee
Mungu ni mwema huu mwaka utaisha ukiwa na tabasamu
 
Huu mwaka nimefanya application 8, nimeitwa interview 5.
2 nimezipotezea, 3 nimeenda na zote nimefika oral, Moja ya MUHAS placement tayari na sijapata. Hii ya MUHAS ilikuwa ni oral pekee
Statistic imesimama hongera sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Namchumbia Prok jobless mwenzangu hiyo bila hela yani nikienda najitambulia tu I am ..mr jobless pro-max nikubalie ukinikataa nafanya kama katibu wa firi frii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akikubali usisahau kutujulisha majobless wenzenu tuje kufinya wote mpunga
 
Kazi ushapata mkuu trust me
 
Mie huu mwaka nilikua na received nne mbili nishafanya (kati ya hizo moja Nina barua ghetto dah😢😢 moja nasubiri placement nifate barua nitaazima suti ya wizy hapa Niende nayo) kwenye account Bado received mbili moja ya ASA-hii siendi hata kwa dawa inataka mtu mmoja acha majobles wenzangu wapate nafasi na wao received nyingine Ni TRA- hii Sasa wakiita sijaingiza job naenda kufanya interview (sema Toka nipate placement nishaacha kusoma kabisa🤣🤣 ila najuaa Pepa lake litakua gumu sana)
kama nitakua job siendi interview wacha majobles wezangu wapambanie nafasi haita kua na maana mie kwenda kushindana nao
 
Uanasheria unaingia popote kupiga kazi ndio maana uliambulia received(nafasi) nyingi.

Nguvu zote za maombi zielekee kwenye placement, hizi zingine sii za kuzipigia mahesabu kivile.

Ile ulisema upo kwenye kanzidata ilikuwa ya mwaka jana au ulimaanisha hii unayosubiri placement?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…