Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huu mwaka nimefanya application 8, nimeitwa interview 5.
2 nimezipotezea, 3 nimeenda na zote nimefika oral, Moja ya MUHAS placement tayari na sijapata. Hii ya MUHAS ilikuwa ni oral pekee
Msako wa mrija na uendelee, one day yes
 
Taesa wanatoa internship ya mwaka mmoja na malipo ya laki na nusu Kila mwezi ila kama ofisini uliyopangiwa wanahela nao wanaweza kukupa mwaka ukiisha unasepa PSRS Wao asilimia kubwa ni kazi za permanent job and pensionable job ukipata unakula asali na kusubir kusitafu tu mkuu
Shukurani umenipa mwanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uanasheria unaingia popote kupiga kazi ndio maana uliambulia received(nafasi) nyingi.

Nguvu zote za maombi zielekee kwenye placement, hizi zingine sii za kuzipigia mahesabu kivile.

Ile ulisema upo kwenye kanzidata ilikuwa ya mwaka jana au ulimaanisha hii unayosubiri placement?
Wee, kuna wanaoingia kanzidata wakajua wapo? [emoji23]. Mbili nasubiri placement, mimi kazi rasmi nmeanza kuomba mwaka huu kaka. Sema hiyo ya mwanzo ninayosubir placement kuna tetesi kuwa watu waliitwa kwa juu juu bila kuweka placement 🥱
 
Huwez kujua kama upo kwenye kanzidata au lah!
 
Mie huu mwaka nilikua na received nne mbili nishafanya (kati ya hizo moja Nina barua ghetto dah[emoji22][emoji22] moja nasubiri placement nifate barua nitaazima suti ya wizy hapa Niende nayo) kwenye account Bado received mbili moja ya ASA-hii siendi hata kwa dawa inataka mtu mmoja acha majobles wenzangu wapate nafasi na wao received nyingine Ni TRA- hii Sasa wakiita sijaingiza job naenda kufanya interview (sema Toka nipate placement nishaacha kusoma kabisa[emoji1787][emoji1787] ila najuaa Pepa lake litakua gumu sana)
kama nitakua job siendi interview wacha majobles wezangu wapambanie nafasi haita kua na maana mie kwenda kushindana nao
Mimi nilikuwa na Received 4 mbili nimefanya September na nimefika Oral zote, mbili zilizobakia nasubiria MDA & LGA na Open University
 
Wee, kuna wanaoingia kanzidata wakajua wapo? [emoji23]. Mbili nasubiri placement, mimi kazi rasmi nmeanza kuomba mwaka huu kaka. Sema hiyo ya mwanzo ninayosubir placement kuna tetesi kuwa watu waliitwa kwa juu juu bila kuweka placement 🥱
Basi endelea kupiga zote unazoendelea kuitwa. Utabahatisha kati ya hizo.

Unaweza kukuta siku yako ikifika unaitwa juu kwa juu bila kuona PDF kama hao unaowazania[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi nilikuwa na Received 4 mbili nimefanya September na nimefika Oral zote, mbili zilizobakia nasubiria MDA & LGA na Open University
Una nafasi kubwa ya kuingia kwenye mrija wa Asali.

Mara paap placement ikatoka halafu umo kabla haujaitwa hizo received zilizobaki.

Kuna jamaa ilimtokea hivi, alipata mrija NCAA kwenye placement zilizopita halafu alikuwepo kwenye shortlists za NAOT
 
Mie huu mwaka nilikua na received nne mbili nishafanya (kati ya hizo moja Nina barua ghetto dah😢😢 moja nasubiri placement nifate barua nitaazima suti ya wizy hapa Niende nayo) kwenye account Bado received mbili moja ya ASA-hii siendi hata kwa dawa inataka mtu mmoja acha majobles wenzangu wapate nafasi na wao received nyingine Ni TRA- hii Sasa wakiita sijaingiza job naenda kufanya interview (sema Toka nipate placement nishaacha kusoma kabisa🤣🤣 ila najuaa Pepa lake litakua gumu sana)
kama nitakua job siendi interview wacha majobles wezangu wapambanie nafasi haita kua na maana mie kwenda kushindana nao
😂😂😂😂Suti yangu naipiga pasi kila siku inasubiria pdf tu
 
Back
Top Bottom