Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huu mwaka nimefanya application 8, nimeitwa interview 5.
2 nimezipotezea, 3 nimeenda na zote nimefika oral, Moja ya MUHAS placement tayari na sijapata. Hii ya MUHAS ilikuwa ni oral pekee
Msako wa mrija na uendelee, one day yes
 
Shukurani umenipa mwanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee, kuna wanaoingia kanzidata wakajua wapo? [emoji23]. Mbili nasubiri placement, mimi kazi rasmi nmeanza kuomba mwaka huu kaka. Sema hiyo ya mwanzo ninayosubir placement kuna tetesi kuwa watu waliitwa kwa juu juu bila kuweka placement ๐Ÿฅฑ
 
Huwez kujua kama upo kwenye kanzidata au lah!
 
Mimi nilikuwa na Received 4 mbili nimefanya September na nimefika Oral zote, mbili zilizobakia nasubiria MDA & LGA na Open University
 
Wee, kuna wanaoingia kanzidata wakajua wapo? [emoji23]. Mbili nasubiri placement, mimi kazi rasmi nmeanza kuomba mwaka huu kaka. Sema hiyo ya mwanzo ninayosubir placement kuna tetesi kuwa watu waliitwa kwa juu juu bila kuweka placement ๐Ÿฅฑ
Basi endelea kupiga zote unazoendelea kuitwa. Utabahatisha kati ya hizo.

Unaweza kukuta siku yako ikifika unaitwa juu kwa juu bila kuona PDF kama hao unaowazania[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi nilikuwa na Received 4 mbili nimefanya September na nimefika Oral zote, mbili zilizobakia nasubiria MDA & LGA na Open University
Una nafasi kubwa ya kuingia kwenye mrija wa Asali.

Mara paap placement ikatoka halafu umo kabla haujaitwa hizo received zilizobaki.

Kuna jamaa ilimtokea hivi, alipata mrija NCAA kwenye placement zilizopita halafu alikuwepo kwenye shortlists za NAOT
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Suti yangu naipiga pasi kila siku inasubiria pdf tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ