PSRS Naomba na sisi mtuite kwa interview wale tuloomba mwezi wa sita na saba
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu hiki hapa:Aya sasa kama juzi na leo tena. !
Kitu kimeshushwa huko.
Mkuu umeramba asali?tukupe hongera zkoo
Mkuu unaeza sbri hata miezi 6 ndo uitwe saili,endlea kua mvumilivuPSRS Naomba na sisi mtuite kwa interview wale tuloomba mwezi wa sita na saba
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Asante sana bossTrade Officer[emoji117]Loan Officer
Hongera sana Yesa.
Waliolamba asali hongereni sana....Mkawe watumishi wema
Leo kuna wengine waliofanya interview mwezi wa 7 wamelamba asaliPSRS Naomba na sisi mtuite kwa interview wale tuloomba mwezi wa sita na saba
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Yah mwez wa 7 sasa umefikiwaLeo kuna wengine waliofanya interview mwezi wa 7 wamelamba asali
Pdf hatimae zimerudiii sasa warudishe ile bandika bandua
IT tuko na wew [emoji95]
Mimi nilisharamba hadi nikastaafu!! Niko hapa kwa ajili ya kuwatia moyo na kuunga mkono jitihada za vijana wanaopambania ajira! Lakini pia nina vijana wangu wako kwenye mapambano haya. Wawili walisharamba asali, wawili bado.Mkuu umeramba asali?tukupe hongera zkoo
Hongera sana kwao mkuu..Mimi nilisharamba hadi nikastaafu!! Niko hapa kwa ajili ya kuwatia moyo na kuunga mkono jitihada za vijana wanaopambania ajira! Lakini pia nina vijana wangu wako kwenye mapambano haya. Wawili walisharamba asali, wawili bado.
IT anasema Dec after X-mas😭Pdf la CDOs sijui linashuka lini
DaaahIT anasema Dec after X-mas[emoji24]
Kuna usail ulifanyika mara ya mwisho 2021 leo wanalamba asali kutoka database.....Pdf hatimae zimerudiii sasa warudishe ile bandika bandua
IT tuko na wew [emoji95]
Mmh mkuu database ya miaka 2?? Imekaaje hpoKuna usail ulifanyika mara ya mwisho 2021 leo wanalamba asali kutoka database.....
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Simama na Mungu Mkuu.....anatenda miujiza wakati wowoteMmh mkuu database ya miaka 2?? Imekaaje hpo
Sawa mkuu hongera sanaSimama na Mungu Mkuu.....anatenda miujiza wakati wowote
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app