zoga
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 779
- 1,527
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh haya hongera kwake
Hongera sanaaa...ukawe mtumishi mwema...Mungu ni Mwema ,,nami nimefanikiwa kulamba Asali ....GOD DID THIS, [emoji120][emoji120]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mungu ni Mwema ,,nami nimefanikiwa kulamba Asali ....GOD DID THIS, [emoji120][emoji120]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hongera sana!! Kumbuka kuwaombea wanaoendelea kupambana!! Kajitahidi kluwa mtumishi mwema!!Mungu ni Mwema ,,nami nimefanikiwa kulamba Asali ....GOD DID THIS, [emoji120][emoji120]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaMungu ni Mwema ,,nami nimefanikiwa kulamba Asali ....GOD DID THIS, [emoji120][emoji120]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mchapa kaziMungu ni Mwema ,,nami nimefanikiwa kulamba Asali ....GOD DID THIS, [emoji120][emoji120]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hongera mkuuMungu ni Mwema ,,nami nimefanikiwa kulamba Asali ....GOD DID THIS, [emoji120][emoji120]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
watu muhinu nyie kwa vijana wapambanajiMimi nilisharamba hadi nikastaafu!! Niko hapa kwa ajili ya kuwatia moyo na kuunga mkono jitihada za vijana wanaopambania ajira! Lakini pia nina vijana wangu wako kwenye mapambano haya. Wawili walisharamba asali, wawili bado.
Kujitolea ni gia ya kupata aidha free labor au cheap labor!! Lakini pia ni mlango wa kupitisha wateule fulani!!Taasisi inatangaza ajira leo Written wanaita baada ya miezi saba oral baada ya mwezi alafu placement mpaka yesu ashuke, wana uhakika walihitaji watu kweli au wanalazimishwa[emoji1]
Alafu hili swala la vijana wengi kujitolea wakati mwingine linachangia kucheleweshwa placement maana watu wanaendelea na kazi hakuna gaps.
Kuna usaili nilifanya Wakujitolea wote walifeli tukapita watu wachache lakini mpaka leo hawajaita and its been months
Sio kwa ubaya ila kwenye kujitolea kuna ka-advantage watu wanatake
PDF ya lini mkuu ?Na Kuna mtu kapangiwa examination officer huko huko Necta.
Hongera sana, ukawe mtumishi mwema.Mungu ni Mwema ,,nami nimefanikiwa kulamba Asali ....GOD DID THIS, [emoji120][emoji120]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hongera sana mwamba!Mungu ni Mwema ,,nami nimefanikiwa kulamba Asali ....GOD DID THIS, [emoji120][emoji120]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hongera sana brotherMungu ni Mwema ,,nami nimefanikiwa kulamba Asali ....GOD DID THIS, [emoji120][emoji120]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hongera sana!! Kumbuka kuwaombea wanaoendelea kupambana!! Kajitahidi kluwa mtumishi mwema!!
Tuendelee kuwa wavumilivu tu maana Kuna mwamba mmoja hvi Leo kalamba asali ila jamaa alishawah kufanya interview ya utumish mara Moja tu Tena mwaka Jana mwez 6Mmh mkuu database ya miaka 2?? Imekaaje hpo
Kweli mwamba subra ni muhimu sana, mungu ni mwema naamini one day yes.Tuendelee kuwa wavumilivu tu maana Kuna mwamba mmoja hvi Leo kalamba asali ila jamaa alishawah kufanya interview ya utumish mara Moja tu Tena mwaka Jana mwez 6
Imagine Leo kaitwa Tena na taasis ambayo hakuwahi kufanya interview yake...
kasbr Zaid ya mwaka na kitu na alkuwa ashasahau na anapga mishe zake tu..
Leo pdf imeshuka anashangaa kuona watu wanamtext nakumpa hongera..
Kwahyo Kuna ktu Cha kujifunza hapa.
Wakati wa Mungu ni wakat sahh...na kama ipo ipo tuu kama haipo ni haipo.