Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

alafu watu waliostaafu wanarudishwa kazini vijana tunaambiwa tujiajiri [emoji1787] [emoji1787]
Acha kabisa mkuu , vijana wengi tunatoka familia hizi hizi za maisha ya kawaida kabisa , no mtaji ,
No backup no nothing , unapambana kama komando kuganga njaa kitaa , vigogo na watoto wao ni mwendo wa kupewa kamseleleko kupenyezwa kwenye mapipa ya asali
 
Hadi sasa IT bado kimya Tuu, cjui anaangusha lini PDF ili waganga njaa wafurahi
 
Tunakupa possible then baada ya miaka 2 una ghorofa lako Goba na Harrier new model nyeusi tinted unatupita watembea kwa miguu tuliokuwezesha hata lift hutoi tusije kuchafua seat za gari yako
Daaahhh
 
Hili suala la taasisi kuipigia PSRS ni la ukweli kbsa
Tunaposema kuna wahuni wanataka kuhujumu makusudi mfumo wa PSRS ili kufanya yao ,watu waelewe .
Hii ni hujuma ,na sijui hata hao TISS wamewekwa mfukoni au vipi ? ,Nashindwa kuelewa ,maana pale PSRS wapo maafisa vipenyo kibao .
Sasa inakuwaje hujuma kama hizi zinafumbiwa macho ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…