Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,674
Acha kabisa mkuu , vijana wengi tunatoka familia hizi hizi za maisha ya kawaida kabisa , no mtaji ,alafu watu waliostaafu wanarudishwa kazini vijana tunaambiwa tujiajiri [emoji1787] [emoji1787]
No backup no nothing , unapambana kama komando kuganga njaa kitaa , vigogo na watoto wao ni mwendo wa kupewa kamseleleko kupenyezwa kwenye mapipa ya asali