[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh nimeingia kwenye coloni lako mzee hahhh hii ni scramble and partition of utumishi
Haki tenaUnaweza kuta sisi hapa tunajiuliza kuhusu placements halafu kumbe Utumishi wala hata hawana habari.
Na walishasahu kama waliwafanyia interviewsHaki tena
Hapa wanaotuwaza labda taasisi husika tu sio psrsNa walishasahu kama waliwafanyia interviews
Duuu, huyo mwamba anatuaibisha sana Wanaume, hizo tabia tumezizoea kwa wanawake ila mwamba katembea nazo.Haya mambo haya, naomba nitoe ushuhuda, me kipindi nipo chuo nlikuwa na hela mno, ni hivi vibiashara vyangu na kidogo walezi wangu walikuwa vizuri na elimu wanaithamini sana. Nlikuwa na boy friend wangu akiniomba 5000, 10,000 sion shida kumpa. Kidogo kwao hawakuwa vizuri na yeye ndo first born, vitu vya ndani nanunua nampa, akija hostel namchambulia vitu nampa, hadi nlimpa jiko la umeme awe anapikia kwake maana chuo warden alikaza. Inshort nlimbeba sana. Nauli za chuo nampa hapo yeye ndo anasoma CPA. Aisee baadae akalamba asali bana TRA, kama custom officer, na mimi nkamaliza chuo maisha yakanipiga, akabadilika kabisa kabisa, nkawa nalia na mapenzi wee[emoji23][emoji1787], akahamishiwa Dar nkahisi labda shida ilikuwa long distance rship, Dar wakamuweka TPA, aisee na mapenzi yakaisha kabisa na mimi nkasema hamna changu hapa, kama ni pesa najua kuitafuta. From then aisee nkajisemea kumbe haya mambo sio ya wadada peke yao. Ata mdada unaweza mvumilia jobless mwenzio hapa akilamba asali tu ndo anakuonaje sijui [emoji1787]. Kikubwa upendo tu.
😂😂😂😂Kumbe jobless Kuna wakati unawazaga vizuri tu aseeh kweli utumishi Watapata mtumishi boraDuuu, huyo mwamba anatuaibisha sana Wanaume, hizo tabia tumezizoea kwa wanawake ila mwamba katembea nazo.
Pole sana kwa hayo yalikukuta, ipo siku atakukumbuka, Mambo huwa yanakuja na kupita. Sasa hivi u ahangaika na PSRS unaweza kulamba mrija wa Asali wa kueleweka hadi yeye atakushangaa siku moja na aanze kujilaumu.
Upendo wa kweli muhimu sana, ila tamaa ikiingia inasambaratisha Upendo
😂😂😂😂achana na maisha tutayakuta mbele ya safari au hata mbinguni tuMimi natafuta maisha sasa hivi[emoji23][emoji23]
Definitely taasisi ndio zinawaza ila sio waoHapa wanaotuwaza labda taasisi husika tu sio psrs
😂😂😂😂Kuna hiyo manzi nilitoka nayo chuo aseeh ilivyoniacha nilikuja kusikia tu kaolewa simu zake hazikupatika ikabidi nicheke tu hahhhhhDuuu, huyo mwamba anatuaibisha sana Wanaume, hizo tabia tumezizoea kwa wanawake ila mwamba katembea nazo.
Pole sana kwa hayo yalikukuta, ipo siku atakukumbuka, Mambo huwa yanakuja na kupita. Sasa hivi u ahangaika na PSRS unaweza kulamba mrija wa Asali wa kueleweka hadi yeye atakushangaa siku moja na aanze kujilaumu.
Upendo wa kweli muhimu sana, ila tamaa ikiingia inasambaratisha Upendo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo namujibu niliitwa lakini jina langu walilikata nikawafata mpaka ofisini kwao
Hahahahahaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe jobless Kuna wakati unawazaga vizuri tu aseeh kweli utumishi Watapata mtumishi bora
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna hiyo manzi nilitoka nayo chuo aseeh ilivyoniacha nilikuja kusikia tu kaolewa simu zake hazikupatika ikabidi nicheke tu hahhhhh
😂😂😂😂Utumishi lazima watupe kazi mwaka huuHahahahahaa.
Tunajifunza na kuwaza mengi kwenye hili dimbwi la ujobless
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe jobless Kuna wakati unawazaga vizuri tu aseeh kweli utumishi Watapata mtumishi bora
We are working at muhindi.Jobless wenzangu nauliz what are you doing for living?
😂😂😂😂Muhindi which?Muhindi who?We are working at muhindi.
Tunabet sanaaa😂 pia tumejishikiza sehemuJobless wenzangu nauliz what are you doing for living?