Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Haya mambo haya, naomba nitoe ushuhuda, me kipindi nipo chuo nlikuwa na hela mno, ni hivi vibiashara vyangu na kidogo walezi wangu walikuwa vizuri na elimu wanaithamini sana. Nlikuwa na boy friend wangu akiniomba 5000, 10,000 sion shida kumpa. Kidogo kwao hawakuwa vizuri na yeye ndo first born, vitu vya ndani nanunua nampa, akija hostel namchambulia vitu nampa, hadi nlimpa jiko la umeme awe anapikia kwake maana chuo warden alikaza. Inshort nlimbeba sana. Nauli za chuo nampa hapo yeye ndo anasoma CPA. Aisee baadae akalamba asali bana TRA, kama custom officer, na mimi nkamaliza chuo maisha yakanipiga, akabadilika kabisa kabisa, nkawa nalia na mapenzi wee[emoji23][emoji1787], akahamishiwa Dar nkahisi labda shida ilikuwa long distance rship, Dar wakamuweka TPA, aisee na mapenzi yakaisha kabisa na mimi nkasema hamna changu hapa, kama ni pesa najua kuitafuta. From then aisee nkajisemea kumbe haya mambo sio ya wadada peke yao. Ata mdada unaweza mvumilia jobless mwenzio hapa akilamba asali tu ndo anakuonaje sijui [emoji1787]. Kikubwa upendo tu.
Duuu, huyo mwamba anatuaibisha sana Wanaume, hizo tabia tumezizoea kwa wanawake ila mwamba katembea nazo.

Pole sana kwa hayo yalikukuta, ipo siku atakukumbuka, Mambo huwa yanakuja na kupita. Sasa hivi u ahangaika na PSRS unaweza kulamba mrija wa Asali wa kueleweka hadi yeye atakushangaa siku moja na aanze kujilaumu.

Upendo wa kweli muhimu sana, ila tamaa ikiingia inasambaratisha Upendo
 
😂😂😂😂Kumbe jobless Kuna wakati unawazaga vizuri tu aseeh kweli utumishi Watapata mtumishi bora
 
Duuu, huyo mwamba anatuaibisha sana Wanaume, hizo tabia tumezizoea kwa wanawake ila mwamba katembea nazo.

Pole sana kwa hayo yalikukuta, ipo siku atakukumbuka, Mambo huwa yanakuja na kupita. Sasa hivi u ahangaika na PSRS unaweza kulamba mrija wa Asali wa kueleweka hadi yeye atakushangaa siku moja na aanze kujilaumu.

Upendo wa kweli muhimu sana, ila tamaa ikiingia inasambaratisha Upendo
😂😂😂😂Kuna hiyo manzi nilitoka nayo chuo aseeh ilivyoniacha nilikuja kusikia tu kaolewa simu zake hazikupatika ikabidi nicheke tu hahhhhh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna hiyo manzi nilitoka nayo chuo aseeh ilivyoniacha nilikuja kusikia tu kaolewa simu zake hazikupatika ikabidi nicheke tu hahhhhh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom