Kalikenye_91
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 217
- 589
calm down broKwaiyo mnataka walipo database wasipangiwe?...Kila kitu lawama.
Mungu yu Mwema hakika, hatimae nimo.CDOs wanaupga mwing sanaaa..
Hakuna mwanetu aje kutupa ushuhuda apa..maan naona wengne wa database ya trh 17/09/2022
Hongera sana...Mu
Mungu yu Mwema hakika, hatimae nimo.
Thanks Team, tuendelee kumuomba mema Mungu Kwa mafanikio ya Kila Moja wetu.[emoji1666]
Shukrani kaka, ni mwaka huu JulyHongera sana...
Kila la kher ukawe mtumishi mwema
Vp ulifanya mwaka huu mwez wa saba au ni mwaka Jana mwez wa 9
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu, ukachape kazi.Mu
Mungu yu Mwema hakika, hatimae nimo.
Thanks Team, tuendelee kumuomba mema Mungu Kwa mafanikio ya Kila Moja wetu.🤝
Mu
Mungu yu Mwema hakika, hatimae nimo.
Thanks Team, tuendelee kumuomba mema Mungu Kwa mafanikio ya Kila Moja wetu.🤝
Hongera sana mkuu,ukawe mtumishi mwema. Tulizimiss sana shuhuda kama hiziMu
Mungu yu Mwema hakika, hatimae nimo.
Thanks Team, tuendelee kumuomba mema Mungu Kwa mafanikio ya Kila Moja wetu.🤝
nimekupata mkuu wanguMzee Sawadogo,...haya maneno hayatakiwi.
Ahsante Captain🤝Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu, ukachape kazi.
Hongera sana mwamba!!Mu
Mungu yu Mwema hakika, hatimae nimo.
Thanks Team, tuendelee kumuomba mema Mungu Kwa mafanikio ya Kila Moja wetu.🤝
Hongera sana ndugu yangu, ngj nami niendelee kusubiri huenda pdf zijazo nikatokeaMu
Mungu yu Mwema hakika, hatimae nimo.
Thanks Team, tuendelee kumuomba mema Mungu Kwa mafanikio ya Kila Moja wetu.[emoji1666]
Hongera karibu kwenye mzingaMu
Mungu yu Mwema hakika, hatimae nimo.
Thanks Team, tuendelee kumuomba mema Mungu Kwa mafanikio ya Kila Moja wetu.[emoji1666]
Saf vp michongo yetu ulifanikiwa kupiga PaperNiajee
Naam nilipigaSaf vp michongo yetu ulifanikiwa kupiga Paper
Vijana hatakiwi kukata tamaa utakosa LGA & MDAs TGS D1 unakutana na Database TRDS 6.1 huko TANROADS mbingu na ardhi[emoji23]Alafu unakuta walikosa direct halmashauri wamepelekwa indirect Kwenye taasisi. kama vigezo vyao wenye maksi za juu ndio wanapata kwanza placement basi ni wazi wale waliopasua sana wamejaa halmashauri na wale average wanajaa kwenye mataasisi daaah.
Ni kweli tulipewa jina best loser ila hatukuwa na kinyongo watoto wa Jenister, Mwisho wa siku kila mtu atailamba asali, asali for every body.Vijana hatakiwi kukata tamaa utakosa LGA & MDAs TGS D1 unakutana na Database TRDS 6.1 huko TANROADS mbingu na ardhi[emoji23]
Hivi mlikuwa mnawaitaje wale watu waliopo kanzidata Best losers, aisee.
Kila mtu anapenda sehem ,nzuri lkn kikubwa mshukuru Mungu kwa sehem ulioipata ,,kikubwa kumtanguliza Mungu kweny Kila kitu kweny safari hii ya maisha ,,,Mungu ndio anajua kesho yako itakuaje uko mbeleniWakati wengine wanapelekwa halmashauri naona wengine wamepelekwa TANROAD,RUWASA,TANAPA,NGORONGORO NA TPDC kweli kuna watu wana bahati asee