Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tushafika Azamtv
Screenshot_20230927-125959.jpg
 
Mu

Mungu yu Mwema hakika, hatimae nimo.

Thanks Team, tuendelee kumuomba mema Mungu Kwa mafanikio ya Kila Moja wetu.🤝

Hongera sana ndugu,

Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi kabisa, nakutakia maisha mema katika Utumishi wa Umma. Kumbuka kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu za kazi yako pale unapotimiza majukumu yako.

Pia, jipongeze ukiwa pamoja na ndugu na jamaa zako wa karibu kufurahia mafanikio hayo uliyopata.

Mwisho, kumbuka kutoa shukrani au msaada kwa jamii yenye uhitaji kwani haikuwa rahisi mpaka kufika hapo.
 
Alafu unakuta walikosa direct halmashauri wamepelekwa indirect Kwenye taasisi. kama vigezo vyao wenye maksi za juu ndio wanapata kwanza placement basi ni wazi wale waliopasua sana wamejaa halmashauri na wale average wanajaa kwenye mataasisi daaah.
Vijana hatakiwi kukata tamaa utakosa LGA & MDAs TGS D1 unakutana na Database TRDS 6.1 huko TANROADS mbingu na ardhi[emoji23]

Hivi mlikuwa mnawaitaje wale watu waliopo kanzidata Best losers, aisee.
 
Vijana hatakiwi kukata tamaa utakosa LGA & MDAs TGS D1 unakutana na Database TRDS 6.1 huko TANROADS mbingu na ardhi[emoji23]

Hivi mlikuwa mnawaitaje wale watu waliopo kanzidata Best losers, aisee.
Ni kweli tulipewa jina best loser ila hatukuwa na kinyongo watoto wa Jenister, Mwisho wa siku kila mtu atailamba asali, asali for every body.
 
Wakati wengine wanapelekwa halmashauri naona wengine wamepelekwa TANROAD,RUWASA,TANAPA,NGORONGORO NA TPDC kweli kuna watu wana bahati asee
Kila mtu anapenda sehem ,nzuri lkn kikubwa mshukuru Mungu kwa sehem ulioipata ,,kikubwa kumtanguliza Mungu kweny Kila kitu kweny safari hii ya maisha ,,,Mungu ndio anajua kesho yako itakuaje uko mbeleni

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom