Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Shukrani sana ndugu, hakika ni nasaha njema nimezipokea na kuzifanyia kazi ndugu. Ubarikiwe

Ahsante sana
 
Kwenye maisha unapambana na mengi.

Unapambana kuitwa interview.

Unapambana kufanya interview uingie oral

Ukiingia oral unapambana upate placement.

Ukipata unashukuru Mungu.

Ukikosa unapambana uendelee kuwa database uitwe kazini.

Usipoitwa mwenye database mambo ni yaleyale tunaanza Mwanzoni.


Vijana Tupambane.

Wakati wa Mungu ni wakati sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…