Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera sana ndugu,

Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi kabisa, nakutakia maisha mema katika Utumishi wa Umma. Kumbuka kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu za kazi yako pale unapotimiza majukumu yako.

Pia, jipongeze ukiwa pamoja na ndugu na jamaa zako wa karibu kufurahia mafanikio hayo uliyopata.

Mwisho, kumbuka kutoa shukrani au msaada kwa jamii yenye uhitaji kwani haikuwa rahisi mpaka kufika hapo.
Shukrani sana ndugu, hakika ni nasaha njema nimezipokea na kuzifanyia kazi ndugu. Ubarikiwe

Ahsante sana
 
Kwenye maisha unapambana na mengi.

Unapambana kuitwa interview.

Unapambana kufanya interview uingie oral

Ukiingia oral unapambana upate placement.

Ukipata unashukuru Mungu.

Ukikosa unapambana uendelee kuwa database uitwe kazini.

Usipoitwa mwenye database mambo ni yaleyale tunaanza Mwanzoni.


Vijana Tupambane.

Wakati wa Mungu ni wakati sahihi
 
Back
Top Bottom