Sure man , Utumishi wafungue milango watu tuingie kwenye asali zamu hii ,maana kuna ngedere walishaonyesha true colours awamu hii ,so huwezi jua awamu ijayo itakuwaje ,unaweza ukakuta kabisa wanaifuta kabisa hii PSRS .man kila niki scrow pdf nakutana na neno assistant vs assistant.
lakini nachomuomba MUNGU aliye juu. afanye wepesi nipate ajira utawala huu wa mama samia.
watakuja pimbi wengine , vijana tutaishia kuishi kwa ndugu,mashemeji nk full manyanyaso kama zamani.
sahihi champ, tutalamba tu asaliSure man , Utumishi wafungue milango watu tuingie kwenye asali zamu hii ,maana kuna ngedere walishaonyesha true colours awamu hii ,so huwezi jua awamu ijayo itakuwaje ,unaweza ukakuta kabisa wanaifuta kabisa hii PSRS .
Sir God atuone Tu .
Hongera mliolamba asali
Hongera kakaFrom Database nimeruka na kitu cha Halmashauri. Mungu ni mwema.
Hapa ni baada ya oral au written?Mbona mimi tangu nifanye oral mwezi wa pili status haijabadilika? Ina maana gani hii?
View attachment 2762863
Ni baada ya written ndo ikawa hivyo. Na baada ya oral iliendelea kuwa hivyo hivyo haijabadilika hadi leo.Hapa ni baada ya oral au written?
Hizo status hazina ishu mzee ukifika oral we skilizia tu pdf...mi nina hyo selected mwaka sas ushapit na sijapata kzNi baada ya written ndo ikawa hivyo. Na baada ya oral iliendelea kuwa hivyo hivyo haijabadilika hadi leo.
Hapo sawa nimekuelewa.Hizo status hazina ishu mzee ukifika oral we skilizia tu pdf...mi nina hyo selected mwaka sas ushapit na sijapata kz
Wapigi3 simu mkuuHapo sawa nimekuelewa.
Kuna kazi naapply utumishi, nina qualifications zote lakini inagoma. Imenipa hasira sana
View attachment 2765304
Hongera sana mwamba.Mungu ni mwema, wadau na mm leo nimelamba asali namshukuru sana mungu, nawashukuru wana uzi huu kwa faraja zenu kipindi nasubilia placement wadau msikate tamaa wakati wa mungu ndio wakati sahihi, lakn pia naamini yajayo yanafurahisha kwa upande wenu.
Asante sana mwamba.Hongera sana mwamba.
Hatimaye ile siku imefika.
Ukawe mtumishi bora mwenye kufuata taratibu,sheria na miiko ya kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kubadilika sio rahisi kwani mabadiliko ya mwisho yanatakiwa kuwa hivyo Selected / not selected for oral.Ni baada ya written ndo ikawa hivyo. Na baada ya oral iliendelea kuwa hivyo hivyo haijabadilika hadi leo.
Hongera sana ndugu kwa kulamba asali , umefanya usahili lini ? Au wamekuchomoa Data base ?Mungu ni mwema, wadau na mm leo nimelamba asali namshukuru sana mungu, nawashukuru wana uzi huu kwa faraja zenu kipindi nasubilia placement wadau msikate tamaa wakati wa mungu ndio wakati sahihi, lakn pia naamini yajayo yanafurahisha kwa upande wenu.
Nimefurahi sana kijana, moja ya wadau wa huu uzi umelamba asalii. hongera sana afsa vp ulipiga oral lini , na vp status kwa app?Mungu ni mwema, wadau na mm leo nimelamba asali namshukuru sana mungu, nawashukuru wana uzi huu kwa faraja zenu kipindi nasubilia placement wadau msikate tamaa wakati wa mungu ndio wakati sahihi, lakn pia naamini yajayo yanafurahisha kwa upande wenu.
Mkuu..! Hongera sana asee, hakikia kweli Mungu ni mwema wakati wote, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuuMungu ni mwema, wadau na mm leo nimelamba asali namshukuru sana mungu, nawashukuru wana uzi huu kwa faraja zenu kipindi nasubilia placement wadau msikate tamaa wakati wa mungu ndio wakati sahihi, lakn pia naamini yajayo yanafurahisha kwa upande wenu.
Hongera kaka karibu utumishi wa umaMungu ni mwema, wadau na mm leo nimelamba asali namshukuru sana mungu, nawashukuru wana uzi huu kwa faraja zenu kipindi nasubilia placement wadau msikate tamaa wakati wa mungu ndio wakati sahihi, lakn pia naamini yajayo yanafurahisha kwa upande wenu.
Hongera sanaHatamaeee nimeingia kwenye asali mbichi ya baharii toka mwaka jana mwezi wa 11 leoo 28.9.2023