Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,674
Sure man , Utumishi wafungue milango watu tuingie kwenye asali zamu hii ,maana kuna ngedere walishaonyesha true colours awamu hii ,so huwezi jua awamu ijayo itakuwaje ,unaweza ukakuta kabisa wanaifuta kabisa hii PSRS .man kila niki scrow pdf nakutana na neno assistant vs assistant.
lakini nachomuomba MUNGU aliye juu. afanye wepesi nipate ajira utawala huu wa mama samia.
watakuja pimbi wengine , vijana tutaishia kuishi kwa ndugu,mashemeji nk full manyanyaso kama zamani.
Sir God atuone Tu .
Hongera mliolamba asali