Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mungu ni mwema, wadau na mm leo nimelamba asali namshukuru sana mungu, nawashukuru wana uzi huu kwa faraja zenu kipindi nasubilia placement wadau msikate tamaa wakati wa mungu ndio wakati sahihi, lakn pia naamini yajayo yanafurahisha kwa upande wenu.
Daaah raha sana ukiona wana wanalamba asali kama utani ivi😃😀😀mwamba rinyungu honera sana na ukawe mtumishi mwemaa
 
Hapo kubadilika sio rahisi kwani mabadiliko ya mwisho yanatakiwa kuwa hivyo Selected / not selected for oral.
Sali sana
Hapo maana yake amefika ile passmark ya 50 na amehifadhiwa database. Sasa kama database kuna foleni na nafasi zikitokea wanaanza kwanza wenye high marks na sio nani katangulia kuingia database
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…