captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 949
- 2,061
πππukitoka kwenye oral unaweza ukajua ushamaliza.kumbe ndio umechokoza nyuki..
Hahaha [emoji1787][emoji1787]ukitoka kwenye oral unaweza ukajua ushamaliza.kumbe ndio umechokoza nyuki..
Kweli mkuu, hii sio fair kabisakama tumeweza kuvumilia results ya NOT SELECTED FOR ORAL after written interview , pamoja na kuoneshwa passmark zetu. kipi kitashindwa kuvumilika kuona results ya oral incase ni mchinjo ama neema kwenye account ya jobless
hapo sasa..kama tumeweza kuvumilia results ya NOT SELECTED FOR ORAL after written interview , pamoja na kuoneshwa passmark zetu. kipi kitashindwa kuvumilika kuona results ya oral incase ni mchinjo ama neema kwenye account ya jobless
HOJA YAKO ISIKILIZWE INA MASHIKO.kama tumeweza kuvumilia results ya NOT SELECTED FOR ORAL after written interview , pamoja na kuoneshwa passmark zetu. kipi kitashindwa kuvumilika kuona results ya oral incase ni mchinjo ama neema kwenye account ya jobless
Mkuu ulipotea sana upo salama?Hahaha [emoji1787][emoji1787]
Eti wanasema wakikuambia umefaulu alafu nafasi isipatikane utawasmbua π πkama tumeweza kuvumilia results ya NOT SELECTED FOR ORAL after written interview , pamoja na kuoneshwa passmark zetu. kipi kitashindwa kuvumilika kuona results ya oral incase ni mchinjo ama neema kwenye account ya jobless
@Gavano23 ukpo mkuu...Eti wanasema wakikuambia umefaulu alafu nafasi isipatikane utawasmbua [emoji28][emoji28]
Tupo tu mkuu tunaskilizia lolote kutoka psrs hali ni tete snaaa kitaaa cha motoo mnoo@Gavano23 ukpo mkuu...
Daah mkuu, mtaa hausimulikiEti wanasema wakikuambia umefaulu alafu nafasi isipatikane utawasmbua π π
muhimu sana hii, mkuuMambo yawe kama wanavyofanya TAESA. Ukitoka oral unaingia kwenye account yako kujua kama umepass au lah. Faida ni nying za kutoa matokeo ya oral zaid ya hasaraView attachment 2771526
Wapo hao hapo Sekretarieti ya AjiraHivi wakuu psrs wana account jamii forum???
mkisifiwa ndo mnajibu.πππ Haya tunaomba mtupe majibu ya huu uzi!Kila la heri na tukutakie maandalizi mema. Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inafanya kazi kwa Uwazi na Weledi kwa kuzingatia Sheria, taratibu na kanuni.
nimeshawaonaWapo hao hapo Sekretarieti ya Ajira