Tupo wengi tu Ndugu.Daaaah cdo kama wote hv nmebaki mimi tu mbn, Mungu anione jmn
lazima utaleta mrejesho tu usijali ndugu yangu CDO huu ni mwaka wenu..
sawadogo anatuandalia makao uko.. π ππππ IT kaamua kutufurahisha kwa kumchomoa legendary sawadogo
Na maombi haya Mungu yakatimie.lazima utaleta mrejesho tu usijali ndugu yangu CDO huu ni mwaka wenu..
Hongera sana kamanda mfwendeeeeeeee proud of mkuuu since Uzi wa majeshi jeshiwakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Kwani Leo ni jumatatu? Mbona kilicho andkiwa kwenye picha ni tofaut na taarfa Yako mkuu au ikoje.Leo kipindi cha Dk 45 ITV Mahojiano na PSRSView attachment 2773159
Typing error J3 watarusha mahojiano.....Yote hayo wananivuruga na story zao za kila siku PSRS wakati Kitaa cha moto na job kwa wahindi unafanya kazi kiasi kwamba mpk mwili unahisi upo utumwani....Kwani Leo ni jumatatu? Mbona kilicho andkiwa kwenye picha ni tofaut na taarfa Yako mkuu au ikoje.
Okay..kwel mkuu kitaa ni Cha moto sanaTyping error J3 watarusha mahojiano.....Yote hayo wananivuruga na story zao za kila siku PSRS wakati Kitaa cha moto na job kwa wahindi unafanya kazi kiasi kwamba mpk mwili unahisi upo utumwani....
Waachie PDF nzito
Asee kaka hongera sana moja ya shuhuda iliyonipa furaha sana hongera sana.wakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Hivi ni kweli ulikua mlinzi?Nashukuru sana champ, utafanikiwa.
Wanaitwa security officer walinzi ni wale wazee kolokoloni.Hivi ni kweli ulikua mlinzi?
Kaka achana na hyo kitu itakutoa damu Anza hata na ISTWadau naombeni ushauri tangu nipate placement kila saa akili inawaza SUBARU XT 2009 najaribu kufuta mawazo hayatoki nimejaribu kunywa beer nisahau ila ndio inazidi kunijia karibu zaidi.View attachment 2772942
AMENkama ni CDO naamini huu mwaka hautaisha utakua ushapaata vumilia tu..
Hawa vijana ndio wala rushwa ajira ya kwanza anataka gari ya 25M [emoji1]Kaka achana na hyo kitu itakutoa damu Anza hata na IST
Hongera sana... mvumilivu hula mbivu28.11.2022 nilifanikiwa kuingia oral nikaoata kazi kupitia database tarehe 28.9.2023 na Leo 6.10.2023 historia imewekwa. Nimekuja kuripoti hapa DMI DAR ES SALAAM. nimepokelewa viruri kabisa
#NITAKUWA MTUMISHI MWEMA