Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huyu kijana anayejiita Mfwende Sawadogo ni miongoni mwa vijana wa Mfano na wakuigwa. Kijana hajawahi kuwaonea wenzie wivu wala hajawahi kuwawekea wenzake kinyongo juu ya Placement. Yeye kila siku alikuwa anaamini siku yake itafika na hatimae imefika. Nimekuwa nikimfatilia kimya kimya sana hadi leo hii napata Taarifa amepata kazi. HONGERA KWAKE.
Mimi simjui huyu mwamba. Nimekuja kumuona huku kwenye post na comments zenu hakika amenigusa sana. Mungu ambariki kwa kugusa mioyo ya watu. Naamini ipo
Siku kila mtu mwenye uhitaji humu atakuja kusimulia na kushuhudia ukuu wa Mungu. Kila
La kheri kwa wapambanaji wote safari ya neema ni kwa kila mtu. Kikubwa uvumilivu
 
Anajifanya ananilaani, kisa nimeandika vitu vya kumkera

Sijakulaani kama kuna mashahidi humu na usivyo na bahati na mimi kila unapocomment huwa nakuwa jukwaani.

Ndugu unajikweza sana na kila ajikwezae hushushwa, Nebuchadnezzar alikuwa mtawala wa Babel alijitukuza mno alijiona ni Mungu, sasa akafanywa hayawani akala nyasi porini kwa miaka 7 kisha alipotoka huko alikuwa humble sana na alimtambua Mungu ni Mungu juu ya miungu.

Unawadhihaki watu wa Halmashauri yaani kifupi YOU ARE THE BEST OF THE BEST CONQUEROR OF EVERYTHING ON LAND,WATER AND SKY.

Hebu jishushe onesha uwezo wako pasipo kutoa negative remarks kwa wengine, hujui hiko unachoona kidogo kina msaada gani kwa wengine? Be humble ama subiri uwe humbled kwa kula nyasi kama Nebuchadnezzar.

Kama nimeumiza EGO yako, niwie radhi.
 
Mimi simjui huyu mwamba. Nimekuja kumuona huku kwenye post na comments zenu hakika amenigusa sana. Mungu ambariki kwa kugusa mioyo ya watu. Naamini ipo
Siku kila mtu mwenye uhitaji humu atakuja kusimulia na kushuhudia ukuu wa Mungu. Kila
La kheri kwa wapambanaji wote safari ya neema ni kwa kila mtu. Kikubwa uvumilivu
Hakika. jamaa alikuwa na uvumilivu sana. Kila siku alikuwa akiwapongeza wenzake huku akisubili zamu yake. Ni miongoni mwa watu waliodumu na huu uzi kwa mda mrefu.
 
Hivi ni kweli ulikua mlinzi?
Naijibu hii mkuu kwa faida ya wengine, Nikweli nilikua mlinzi kampuni moja ni tawi la SGA SECURITY inaitwa IRONSIDE LIMITED IPO ROSEGARDEN KWA MWALIMU,

nilipangiwa kituo cha kazi hapo vingunguti. mshahara kipindi cha probation period ni 140k

but nilimove on kwenda kujiegesha sehemu , aiseeh jobless wanateseka nyie acha niishie hapa.
 
Hiyo TA Basic ni 1.6, ikikatwa inabaki 1.1
Kodi ya nyumba laki 1.5
Kula kwa mwezi laki 3
Umeme maji 20000
Mafuta ya Subaru kwa mwezi laki 3
Makato ya Benki mkopo wa Subaru laki 4
Wewe utabakiwa na nini? Kama walivyokushauri anza na Ist. Ziko taasisi ambazo unaweza kuanza kazi tu na ukavuta Subaru na maisha mengine yakaenda ila sio halmashauri na vyuoni huko unakinga kwa mwezi tu.
Kwani mimi ndio nimesema nanunua Subaru?
Mimi ni Assistant Lecturer na sio TA.
 
Naijibu hii mkuu kwa faida ya wengine, Nikweli nilikua mlinzi kampuni moja ni tawi la SGA SECURITY inaitwa IRONSIDE LIMITED IPO ROSEGARDEN KWA MWALIMU,

nilipangiwa kituo cha kazi hapo vingunguti. mshahara kipindi cha probation period ni 140k

but nilimove on kwenda kujiegesha sehemu , aiseeh jobless wanateseka nyie acha niishie hapa.
Hongera sana mkuu.

Kikubwa ni kutokata tamaa.

Uliishi maisha magumu ya dhiki na kujitoa muhanga kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya leo yako ila ndani yako ulikua unaiona kesho yako kubwa na Mungu ameshafungua mlango tayari upo katika reli ya safari yako ya mafanikio. (Story yako inafanana sana na mimi ila katika mazingira tofauti)
 
Sijakulaani kama kuna mashahidi humu na usivyo na bahati na mimi kila unapocomment huwa nakuwa jukwaani.

Ndugu unajikweza sana na kila ajikwezae hushushwa, Nebuchadnezzar alikuwa mtawala wa Babel alijitukuza mno alijiona ni Mungu, sasa akafanywa hayawani akala nyasi porini kwa miaka 7 kisha alipotoka huko alikuwa humble sana na alimtambua Mungu ni Mungu juu ya miungu.

Unawadhihaki watu wa Halmashauri yaani kifupi YOU ARE THE BEST OF THE BEST CONQUEROR OF EVERYTHING ON LAND,WATER AND SKY.

Hebu jishushe onesha uwezo wako pasipo kutoa negative remarks kwa wengine, hujui hiko unachoona kidogo kina msaada gani kwa wengine? Be humble ama subiri uwe humbled kwa kula nyasi kama Nebuchadnezzar.

Kama nimeumiza EGO yako, niwie radhi.
- kwa hiyo Huwa unafurahi sana ukikuta comments zangu jukwaani?
 
Hongera sana mkuu.

Kikubwa ni kutokata tamaa.

Uliishi maisha magumu ya dhiki na kujitoa muhanga kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya leo yako ila ndani yako ulikua unaiona kesho yako kubwa na Mungu ameshafungua mlango tayari upo katika reli ya safari yako ya mafanikio. (Story yako inafanana sana na mimi ila katika mazingira tofauti)
Amina ,Ashukuriwe MUNGU.
wote kwenye huu uzi ,ndoto zetu zitimie inshallah.
 
Hiyo TA Basic ni 1.6, ikikatwa inabaki 1.1
Kodi ya nyumba laki 1.5
Kula kwa mwezi laki 3
Umeme maji 20000
Mafuta ya Subaru kwa mwezi laki 3
Makato ya Benki mkopo wa Subaru laki 4
Wewe utabakiwa na nini? Kama walivyokushauri anza na Ist. Ziko taasisi ambazo unaweza kuanza kazi tu na ukavuta Subaru na maisha mengine yakaenda ila sio halmashauri na vyuoni huko unakinga kwa mwezi tu.
Mr tutor hapatani na halmashauri kabisa sijui kwanini
 
Hiyo TA Basic ni 1.6, ikikatwa inabaki 1.1
Kodi ya nyumba laki 1.5
Kula kwa mwezi laki 3
Umeme maji 20000
Mafuta ya Subaru kwa mwezi laki 3
Makato ya Benki mkopo wa Subaru laki 4
Wewe utabakiwa na nini? Kama walivyokushauri anza na Ist. Ziko taasisi ambazo unaweza kuanza kazi tu na ukavuta Subaru na maisha mengine yakaenda ila sio halmashauri na vyuoni huko unakinga kwa mwezi tu.
[emoji23]
 
Back
Top Bottom