mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
TANZANIA NI YETU SOTE MKUU,hongera sana sanaAsante sana kaka jana tu nmetoka kukupa pongezi leo ni zamu yako kunipongeza..MUNGU nu mwema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TANZANIA NI YETU SOTE MKUU,hongera sana sanaAsante sana kaka jana tu nmetoka kukupa pongezi leo ni zamu yako kunipongeza..MUNGU nu mwema.
Hongera sana mzeeWanangu feeling ya kudownload pdf na kukuta jina lako rasmi nmeiexpirience leo..nmeshndwa fanya chochote kwa sekunde kadhaa hakika MUNGU ni mkubwa sana na mimi leo natoa shuhuda..MUNGU awasaidie na nyie ndugu zangu mnaosubiria msikate tamii amini ipo siku atawasikia.
Kweli kaka umeongea jambo la muhimu.Wana Tupeane Michongo... incase kama ulikuwa na mchongo na umepata placement... niunganishe niwe kama replacement mtaani vumbii.... maana naona pdf zinakuja empty tu
Am openly anywhere..
28.11.2022 nilifanikiwa kuingia oral nikaoata kazi kupitia database tarehe 28.9.2023 na Leo 6.10.2023 historia imewekwa. Nimekuja kuripoti hapa DMI DAR ES SALAAM. nimepokelewa viruri kabisa
#NITAKUWA MTUMISHI MWEMA
Hongera sana mzee
Hongera sana. Mungu akutangulie katika majukumu Yako.Wanangu feeling ya kudownload pdf na kukuta jina lako rasmi nmeiexpirience leo..nmeshndwa fanya chochote kwa sekunde kadhaa hakika MUNGU ni mkubwa sana na mimi leo natoa shuhuda..MUNGU awasaidie na nyie ndugu zangu mnaosubiria msikate tamii amini ipo siku atawasikia.
Wanangu feeling ya kudownload pdf na kukuta jina lako rasmi nmeiexpirience leo..nmeshndwa fanya chochote kwa sekunde kadhaa hakika MUNGU ni mkubwa sana na mimi leo natoa shuhuda..MUNGU awasaidie na nyie ndugu zangu mnaosubiria msikate tamii amini ipo siku atawasikia.
Pole sana mkuu!Hakuna kitu kinauma kama umefanya written leo unasubiri majibu kesho. Asubuhi unatoka Guest kabla ya saa NNE ili usihesabiwe siku ya pili. Siku nzima unazurura mjini matokeo wanatoa SAA 3/4 usiku "NOT selected for Oral"
Unakimbia stendi SAA 5 usiku kuwahi usafiri mabasi hakuna. Unalala kwenye viti vya chuma
Ni za kuhesabu..kama 270 hivi kati ya 800Hongera sana. Mungu akutangulie katika majukumu Yako.
Wacha tuendelee kusubiria sijui nafasi zimebaki ngapi yan.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mungu akawaonekanie.kaka yangu IT spidi unayoenda nayo sasa hivi sio mbaya hongera.Ebu mkeka unaokuja tupia na watu wa electrical engineering hata watano mtaani hali ngumu wengine tumeanza kujifunza utapeli tutafungwa..
Hongera sana mkuu, kila la kheri kwakoWanangu feeling ya kudownload pdf na kukuta jina lako rasmi nmeiexpirience leo..nmeshndwa fanya chochote kwa sekunde kadhaa hakika MUNGU ni mkubwa sana na mimi leo natoa shuhuda..MUNGU awasaidie na nyie ndugu zangu mnaosubiria msikate tamii amini ipo siku atawasikia.
Hongera sana mwamba!!Wanangu feeling ya kudownload pdf na kukuta jina lako rasmi nmeiexpirience leo..nmeshndwa fanya chochote kwa sekunde kadhaa hakika MUNGU ni mkubwa sana na mimi leo natoa shuhuda..MUNGU awasaidie na nyie ndugu zangu mnaosubiria msikate tamii amini ipo siku atawasikia.
Wanangu feeling ya kudownload pdf na kukuta jina lako rasmi nmeiexpirience leo..nmeshndwa fanya chochote kwa sekunde kadhaa hakika MUNGU ni mkubwa sana na mimi leo natoa shuhuda..MUNGU awasaidie na nyie ndugu zangu mnaosubiria msikate tamii amini ipo siku atawasikia.
hongera sana kaka.Wasalimie masjala ya wazi..Wanangu feeling ya kudownload pdf na kukuta jina lako rasmi nmeiexpirience leo..nmeshndwa fanya chochote kwa sekunde kadhaa hakika MUNGU ni mkubwa sana na mimi leo natoa shuhuda..MUNGU awasaidie na nyie ndugu zangu mnaosubiria msikate tamii amini ipo siku atawasikia
Usihofu wanaweza wakaita zaidi ya 800Ni za kuhesabu..kama 270 hivi kati ya 800
Hongera san kiongozi ukawe mtumishi bora[emoji1666]Wanangu feeling ya kudownload pdf na kukuta jina lako rasmi nmeiexpirience leo..nmeshndwa fanya chochote kwa sekunde kadhaa hakika MUNGU ni mkubwa sana na mimi leo natoa shuhuda..MUNGU awasaidie na nyie ndugu zangu mnaosubiria msikate tamii amini ipo siku atawasikia.
Tutafute kazi za kufanya ajira ikitukuta itukute tu safarini. Maana hizo ni zimeisha.Ni za kuhesabu..kama 270 hivi kati ya 800
Hongera Sana mkuu kwakweli God is good [emoji106]Asante sana kaka jana tu nmetoka kukupa pongezi leo ni zamu yako kunipongeza..MUNGU nu mwema.
Mkuu time will tell, Kila mmoja wetu umu nahakika tutalamba asali, ni suala la muda tu, kikubwa uvumilivuTutafute kazi za kufanya ajira ikitukuta itukute tu safarini. Maana hizo ni zimeisha.
Mungu anajua kusudi lake.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Amina.Mkuu time will tell, Kila mmoja wetu umu nahakika tutalamba asali, ni suala la muda tu, kikubwa uvumilivu
Tatizo kujuana kwingi na undugunization, taasisi zikiachwa zisaili zenyewe zitaanza kupachika ndugu, jamaa na marafiki si ajabu huko nyuma tuliona baadhi ya taasisi kujaa watu wa asili ya eneo mojaMamlaka ya Mapato inapendwa na kila mtu kwahiyo kasoro za hapa na pale na malalamiko ya hapa na pale ni lazima yawepo. Taasisi ziachwe zitafute talent zitakazo fit mahitaji yao.