Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

kipindi cha Dk 45 ITV Mahojiano na PSRS
Screenshot_20231006-065126-1.jpg
 
Typing error J3 watarusha mahojiano.....Yote hayo wananivuruga na story zao za kila siku PSRS wakati Kitaa cha moto na job kwa wahindi unafanya kazi kiasi kwamba mpk mwili unahisi upo utumwani....
Waachie PDF nzito
Okay..kwel mkuu kitaa ni Cha moto sana

Sema IT ni mtu wetu sana possibly na Leo Kuna PDF lingne la placement [emoji95][emoji95][emoji95].
 
Back
Top Bottom