Mwamba rinyungu
Senior Member
- Nov 4, 2022
- 195
- 525
Hongera sana mwamba!!28.11.2022 nilifanikiwa kuingia oral nikaoata kazi kupitia database tarehe 28.9.2023 na Leo 6.10.2023 historia imewekwa. Nimekuja kuripoti hapa DMI DAR ES SALAAM. nimepokelewa viruri kabisa
#NITAKUWA MTUMISHI MWEMA
Kila la kheri mkuu kwenye majukumu yako mapya28.11.2022 nilifanikiwa kuingia oral nikaoata kazi kupitia database tarehe 28.9.2023 na Leo 6.10.2023 historia imewekwa. Nimekuja kuripoti hapa DMI DAR ES SALAAM. nimepokelewa viruri kabisa
#NITAKUWA MTUMISHI MWEMA
Hongera sana!! Mshukureu Mungu na ukatimize ahjadi yako ya kuwa mtumishi mwema!!28.11.2022 nilifanikiwa kuingia oral nikaoata kazi kupitia database tarehe 28.9.2023 na Leo 6.10.2023 historia imewekwa. Nimekuja kuripoti hapa DMI DAR ES SALAAM. nimepokelewa viruri kabisa
#NITAKUWA MTUMISHI MWEMA
Hongera sana mkuu, kila la kheri katika utumishi wako ukawe mwadilifu na mchapa kazi.28.11.2022 nilifanikiwa kuingia oral nikaoata kazi kupitia database tarehe 28.9.2023 na Leo 6.10.2023 historia imewekwa. Nimekuja kuripoti hapa DMI DAR ES SALAAM. nimepokelewa viruri kabisa
#NITAKUWA MTUMISHI MWEMA
Mungu aliiona post yako hii na amekujalia kulamba asali!! Naomba Mungu akusaidie ukaitekeleze na itakufanya uwe na mafanikio sana kazini!! Moyo huo ni mwema sana!! Kawaguse yatima uone Mungu atakavyokubariki!!kitaa jua kali balaa ukilamba asali
usitoe sadaka kanisani na msikitini pekee
mshukuruni MUNGU hata kwa kuwagusa watoto yatima,walemavu na watoto wa mtaani kwa wema huo ambao MUNGU kawatendea
Na ndivyo imekuwa!! Ulisema ni suala la muda tu na ndivyo imekuwa!! Vijana mna mengi ya kujifunza kwa kijana mwenzenu mfwende sawadogo!! Ameonesha imani na uvumilivu wa hali ya juu kwa kipindi kirefu sana!! Alioanza nao kufukuzia ajira wengi walilamba asali akawa anajiona kama kabaki peke yake lakini hakukata tamaa!! Vijana msikate tamaa!! Kukata tamaa hakujawahi kumsaidia mtu yeyote!!mkuu nipo kampuni uchwara angalau ku survive ,supervisor wangu ni mnoko kinoma noma so huwa narudi job nikohoi sana,ila comments za wana humu lazima nisome . soon tutalamba asali ni suala la muda tu ,tuzidishe dua na kuongeza received
Daaaah,wakati wa Mungu ni sahihi kikubwa kuwa wavumilivu tu.Na ndivyo imekuwa!! Ulisema ni suala la muda tu na ndivyo imekuwa!! Vijana mna mengi ya kujifunza kwa kijana mwenzenu mfwende sawadogo!! Ameonesha imani na uvumilivu wa hali ya juu kwa kipindi kirefu sana!! Alioanza nao kufukuzia ajira wengi walilamba asali akawa anajiona kama kabaki peke yake lakini hakukata tamaa!! Vijana msikate tamaa!! Kukata tamaa hakujawahi kumsaidia mtu yeyote!!
Nawatia moyo wale ambao hawajawahi kutoboa oral nao wasikate tamaa!! Namfahamu kijana aliyepambana kutoka kupata marks za namba ya kiatu written interview, lakini baadaye alipenya oral na tunapozungumza ana miezi kadhaa kwenye pay roll ya serikali.
Hapo DMI wahadhiri wengi ni wazee umri umesogea na wengine wameshastaafu Ila wanafanya kwa mkataba. Ongeza elimu utapata kitengo soon. Bila shaka ofisi yako inatazama baharini28.11.2022 nilifanikiwa kuingia oral nikaoata kazi kupitia database tarehe 28.9.2023 na Leo 6.10.2023 historia imewekwa. Nimekuja kuripoti hapa DMI DAR ES SALAAM. nimepokelewa viruri kabisa
#NITAKUWA MTUMISHI MWEMA
Polesana mkuu hakika hili suala linauma sana😔Hakuna kitu kinauma kama umefanya written leo unasubiri majibu kesho. Asubuhi unatoka Guest kabla ya saa NNE ili usihesabiwe siku ya pili. Siku nzima unazurura mjini matokeo wanatoa SAA 3/4 usiku "NOT selected for Oral"
Unakimbia stendi SAA 5 usiku kumabasi hakuna. Unalala kwenye viti vya chuma
Kwa kipato chako cha halmashauri huna uwezo wa kumudu mafuta, atlesat kipato chako kingekuwa 5m kwenda juuWadau naombeni ushauri tangu nipate placement kila saa akili inawaza SUBARU XT 2009 najaribu kufuta mawazo hayatoki nimejaribu kunywa beer nisahau ila ndio inazidi kunijia karibu zaidi.View attachment 2772942
Mimi sio Mungu ila kwa intonation ya sound yako,Mungu atakusubirisha mpaka uwe humble.-ngoja nisikilizie za Assistant Lecturer, juzi nimepiga presentation,
-atleast Ina kipato kizuri
Mimi sio Mungu ila kwa intonation ya sound yako,Mungu atakusubirisha mpaka uwe humble.
Kamsome mfalme Nebuchadnezzar.
Hiyo TA Basic ni 1.6, ikikatwa inabaki 1.1-ngoja nisikilizie za Assistant Lecturer, juzi nimepiga presentation,
-atleast Ina kipato kizuri
Nadhani inawezekana maana uwepo wa kanzidata unamaanisha kuna vibali vya ajira vingine huwa havitangazwi ikiwa watu wapo kanzidata.Logic tu,wenyewe watusaidieHivi kwa nyie wazoefu inawezekana kama post ni 20 zikaenda mpaka 50?
Anajifanya ananilaani, kisa nimeandika vitu vya kumkeraHahahahaha! Kwanini mkuu? Hebu tupe maarifa walau kidogo kwenye hili, hasa kuhusu mfalme Nabu. Pengine vijana kwenye angle mbali mbali zaidi hata ya ajira, kuna mahala huwa tunakosea.