Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

kitaa jua kali balaa ukilamba asali
usitoe sadaka kanisani na msikitini pekee

mshukuruni MUNGU hata kwa kuwagusa watoto yatima,walemavu na watoto wa mtaani kwa wema huo ambao MUNGU kawatendea
Mungu aliiona post yako hii na amekujalia kulamba asali!! Naomba Mungu akusaidie ukaitekeleze na itakufanya uwe na mafanikio sana kazini!! Moyo huo ni mwema sana!! Kawaguse yatima uone Mungu atakavyokubariki!!
 
mkuu nipo kampuni uchwara angalau ku survive ,supervisor wangu ni mnoko kinoma noma so huwa narudi job nikohoi sana,ila comments za wana humu lazima nisome . soon tutalamba asali ni suala la muda tu ,tuzidishe dua na kuongeza received
Na ndivyo imekuwa!! Ulisema ni suala la muda tu na ndivyo imekuwa!! Vijana mna mengi ya kujifunza kwa kijana mwenzenu mfwende sawadogo!! Ameonesha imani na uvumilivu wa hali ya juu kwa kipindi kirefu sana!! Alioanza nao kufukuzia ajira wengi walilamba asali akawa anajiona kama kabaki peke yake lakini hakukata tamaa!! Vijana msikate tamaa!! Kukata tamaa hakujawahi kumsaidia mtu yeyote!!

Nawatia moyo wale ambao hawajawahi kutoboa oral nao wasikate tamaa!! Namfahamu kijana aliyepambana kutoka kupata marks za namba ya kiatu written interview, lakini baadaye alipenya oral na tunapozungumza ana miezi kadhaa kwenye pay roll ya serikali.
 
Daaaah,wakati wa Mungu ni sahihi kikubwa kuwa wavumilivu tu.
 
Hakuna kitu kinauma kama umefanya written leo unasubiri majibu kesho. Asubuhi unatoka Guest kabla ya saa NNE ili usihesabiwe siku ya pili. Siku nzima unazurura mjini matokeo wanatoa SAA 3/4 usiku "NOT selected for Oral"
Unakimbia stendi SAA 5 usiku kuwahi usafiri mabasi hakuna. Unalala kwenye viti vya chuma
 
Huyu kijana anayejiita Mfwende Sawadogo ni miongoni mwa vijana wa Mfano na wakuigwa. Kijana hajawahi kuwaonea wenzie wivu wala hajawahi kuwawekea wenzake kinyongo juu ya Placement. Yeye kila siku alikuwa anaamini siku yake itafika na hatimae imefika. Nimekuwa nikimfatilia kimya kimya sana hadi leo hii napata Taarifa amepata kazi. HONGERA KWAKE.
 
28.11.2022 nilifanikiwa kuingia oral nikaoata kazi kupitia database tarehe 28.9.2023 na Leo 6.10.2023 historia imewekwa. Nimekuja kuripoti hapa DMI DAR ES SALAAM. nimepokelewa viruri kabisa
#NITAKUWA MTUMISHI MWEMA
Hapo DMI wahadhiri wengi ni wazee umri umesogea na wengine wameshastaafu Ila wanafanya kwa mkataba. Ongeza elimu utapata kitengo soon. Bila shaka ofisi yako inatazama baharini
 
Hakuna kitu kinauma kama umefanya written leo unasubiri majibu kesho. Asubuhi unatoka Guest kabla ya saa NNE ili usihesabiwe siku ya pili. Siku nzima unazurura mjini matokeo wanatoa SAA 3/4 usiku "NOT selected for Oral"
Unakimbia stendi SAA 5 usiku kumabasi hakuna. Unalala kwenye viti vya chuma
Polesana mkuu hakika hili suala linauma sana😔
 
Wadau naombeni ushauri tangu nipate placement kila saa akili inawaza SUBARU XT 2009 najaribu kufuta mawazo hayatoki nimejaribu kunywa beer nisahau ila ndio inazidi kunijia karibu zaidi.View attachment 2772942
Kwa kipato chako cha halmashauri huna uwezo wa kumudu mafuta, atlesat kipato chako kingekuwa 5m kwenda juu
 
Mimi sio Mungu ila kwa intonation ya sound yako,Mungu atakusubirisha mpaka uwe humble.

Kamsome mfalme Nebuchadnezzar.

Hahahahaha! Kwanini mkuu? Hebu tupe maarifa walau kidogo kwenye hili, hasa kuhusu mfalme Nabu. Pengine vijana kwenye angle mbali mbali zaidi hata ya ajira, kuna mahala huwa tunakosea.
 
-ngoja nisikilizie za Assistant Lecturer, juzi nimepiga presentation,
-atleast Ina kipato kizuri
Hiyo TA Basic ni 1.6, ikikatwa inabaki 1.1
Kodi ya nyumba laki 1.5
Kula kwa mwezi laki 3
Umeme maji 20000
Mafuta ya Subaru kwa mwezi laki 3
Makato ya Benki mkopo wa Subaru laki 4
Wewe utabakiwa na nini? Kama walivyokushauri anza na Ist. Ziko taasisi ambazo unaweza kuanza kazi tu na ukavuta Subaru na maisha mengine yakaenda ila sio halmashauri na vyuoni huko unakinga kwa mwezi tu.
 
Back
Top Bottom